Ni wa umri gani ?Naombeni msaada wenu,nawejaze kumtibu Kuku aliyevunjika mguu kwenye goti? Asanteni.
Kwa umri huo atafaa kufunga kweli !Ana umri wa miezi nane.ndo ameanza kutaga.nihawa Kuku wekundu
Ni kumkata tu huo mguu au mfunge magongo atapona Mkuu.Naombeni msaada wenu,nawejaze kumtibu Kuku aliyevunjika mguu kwenye goti? Asanteni.
Dah... yaani wewe... Khaaa!M. N. H
Mpeleke huko akatibiwe.
Jogoo halifumaniwi bhana...Alipata ajali gani mkuu. Alifumaniwa nn?