Kuku kienyeji toka bena quality chicks

Kuku kienyeji toka bena quality chicks

bena2013

New Member
Joined
Jul 15, 2013
Posts
1
Reaction score
2
Pata vifaranga vya kuku wa kienyeji toka Bena quality chicks.Tunao kuku aina ya malawi, chotara, Rhode Island Red, Barreck Rock, Bata Mzinga,tunauza vifaranga kila wiki, tunatoa ushauri kwa wateja wetu wanonunua vifaranga.tutakushauri kuhusu chanjo,madawa na chakula.chotara wetu wamechanganywa na majogoo ya Rhode island Red,Bared Rock,Malawi na wengineo. wasiliana nasi kwa namba 0713 236223, 0768 147147, 0784 236223
utapata kilicho bora.walichukuwa kuku wetu wanasimulia.pia tutakushauri kama unataka kuku hawa kwa ajili ya nyama au kwa ajili mayai yote unapata kutoka Bena Quality Chicks.TUNAPATIKANA DSM
 
unamaana hawa RIR na wengine uliowataja kuwa ni kuku wa kienyeji?
 
Sekta hii mimi mgeni kabisa, wacha nipite njia..
 
nimekosea forum au??? is this an international forum or business forum???
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom