Kuku bora chotara wa Backyard

Kuku bora chotara wa Backyard

Ginner

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2011
Posts
1,576
Reaction score
2,218
Kampuni ya Backyard ni wazalishaji bora wa kuku wa kienyeji na chotara hapa nchini. tunao kuku wazuri wenye record nzuri ya utagaji pia na uzito wa juu ndani ya muda mfupi.

kuku wetu ni mchanganyiko wa Black australorps, wanao taga wastani wa mayai 309 kwa mwaka kwa uzao wa kwanza, na wastani wa mayai 233 kwa uzao wa pili kwa mwaka. Kuku hawa hufikia uzito wa kilo 4.2 kwa majogoo na kilo 3.2 kwa matetea.

pia tunao Rhode island red, wenye manyoya mekundu kuelekea rangi ya kahawia. kuku hawa hutaga wastani wa mayai 292 kwa mwaka na hifukia kilo 3.9 kwa majogoo na kilo 3 kwa matetea.

tuna aina ya sussex pia, the aseel, kenbro pamoja na naked neck chicks. kuku wetu ni kwaajili ya mbegu, nyama na utagaji wa mayai.

Gharama za vifaranga hivi ni shilingi 180,000 kwa box la vifaranga 100. Hivyo wastani wa shilingi 1800 kwa kila kifaranga.

Kwa wateja wa mikoani tutatuma mzigo mpaka wilaya uliyopo kwa gharama za mteja mwenyewe.

Kuku wa kienyeji aina ya Sasso wataanza kupatikana hivi punde. hawa hufikia kilo 4 ndani ya siku 80 tu. wengi huwaita ni broiler wa kienyeji.

tunapatikana Tegeta Bahari beach. pia tunakaribisha mawakala nchi nzima.
mawasiliano :0755815174
 
Attachments

  • WP_20151026_006.jpg
    WP_20151026_006.jpg
    366.7 KB · Views: 632
  • WP_20151118_002.jpg
    WP_20151118_002.jpg
    324.9 KB · Views: 578
  • 220px-Naked_neck_rooster.jpg
    220px-Naked_neck_rooster.jpg
    9.7 KB · Views: 846
  • WP_20151026_001.jpg
    WP_20151026_001.jpg
    387.8 KB · Views: 634
  • WP_20151026_003.jpg
    WP_20151026_003.jpg
    277.6 KB · Views: 499
Kampuni ya Backyard ni wazalishaji bora wa kuku wa kienyeji na chotara hapa nchini. tunao kuku wazuri wenye record nzuri ya utagaji pia na uzito wa juu ndani ya muda mfupi.

kuku wetu ni mchanganyiko wa Black australorps, wanao taga wastani wa mayai 309 kwa mwaka kwa uzao wa kwanza, na wastani wa mayai 233 kwa uzao wa pili kwa mwaka. Kuku hawa hufikia uzito wa kilo 4.2 kwa majogoo na kilo 3.2 kwa matetea.

pia tunao Rhode isla<script id="gpt-impl-0.9691506875678897" src="http://partner.googleadservices.com/gpt/pubads_impl_75.js"></script>nd red, wenye manyoya mekundu kuelekea rangi ya kahawia. kuku hawa hutaga wastani wa mayai 292 kwa mwaka na hifukia kilo 3.9 kwa majogoo na kilo 3 kwa matetea.

tuna aina ya sussex pia, the aseel, kenbro pamoja na naked neck chicks. kuku wetu ni kwaajili ya mbegu, nyama na utagaji wa mayai.

Kuku wa kienyeji aina ya Sasso wataanza kupatikana hivi punde. hawa hufikia kilo 4 ndani ya siku 80 tu. wengi huwaita ni broiler wa kienyeji.

tunapatikana Tegeta Bahari beach. pia tunakaribisha mawakala nchi nzima.
mawasiliano :0755815174

Bei zikoje ?
 
Me nahitaji kuku wa mayai watapatikana?
 
kwa umri wa hao vifaranga wanachukua siku ngap hadi kufikia mda wa kuanza kutaga??? na matunzo yao wanahitaji lile joto la taa za bulb??
 
Je naweza pata vifaranga vijike tupu(100)
wanakula chakula gani?
Matunzo yao yakoje?
Kampuni ya Backyard ni wazalishaji bora wa kuku wa kienyeji na chotara hapa nchini. tunao kuku wazuri wenye record nzuri ya utagaji pia na uzito wa juu ndani ya muda mfupi.

kuku wetu ni mchanganyiko wa Black australorps, wanao taga wastani wa mayai 309 kwa mwaka kwa uzao wa kwanza, na wastani wa mayai 233 kwa uzao wa pili kwa mwaka. Kuku hawa hufikia uzito wa kilo 4.2 kwa majogoo na kilo 3.2 kwa matetea.

pia tunao Rhode island red, wenye manyoya mekundu kuelekea rangi ya kahawia. kuku hawa hutaga wastani wa mayai 292 kwa mwaka na hifukia kilo 3.9 kwa majogoo na kilo 3 kwa matetea.

tuna aina ya sussex pia, the aseel, kenbro pamoja na naked neck chicks. kuku wetu ni kwaajili ya mbegu, nyama na utagaji wa mayai.

Gharama za vifaranga hivi ni shilingi 180,000 kwa box la vifaranga 100. Hivyo wastani wa shilingi 1800 kwa kila kifaranga.

Kwa wateja wa mikoani tutatuma mzigo mpaka wilaya uliyopo kwa gharama za mteja mwenyewe.

Kuku wa kienyeji aina ya Sasso wataanza kupatikana hivi punde. hawa hufikia kilo 4 ndani ya siku 80 tu. wengi huwaita ni broiler wa kienyeji.

tunapatikana Tegeta Bahari beach. pia tunakaribisha mawakala nchi nzima.
mawasiliano :0755815174
 
Je naweza pata vifaranga vijike tupu(100)
wanakula chakula gani?
Matunzo yao yakoje?

Vijike tupu huwa ni ngumu, mara nyingi utapata mchanganyiko kwa wa siku moja. Ila kwanzia wiki mbili inakuwa rahisi kutambua vijike na vijogoo..

Uzuri wa hawa kuku ni kwamba, market value za majongoo na matetea hukaribiana sana kwani jogoo mkubwa wa kilo 3-4 huuzwa kwa 20000-25000.

Chakula kuna formula maalumu ambayo mteja atapewa ili kupunguza gharama za matunzo kwa kiasi kikubwa. Tunatarajia kwa formula hii, gharama kwa kuku mmoja mpaka kufikia hatua ya kuuzwa ita range kwenye sh 9000-11000 kwa kuku.
 
kwa umri wa hao vifaranga wanachukua siku ngap hadi kufikia mda wa kuanza kutaga??? na matunzo yao wanahitaji lile joto la taa za bulb??

Kuku hawa hutumia wastani wa wiki 19-22 kuanza kutaga. Matunzo ni ya kawaida kama kuku wengine wa kienyeji, ila ukiwalisha vyema ndivyo uzito utaongezeka haraka pamoja na uwezo wa utagaji kuimarika zaidi.

Kuhusu joto, ni muhimu, ila si lazima kutumia joto ya bulb. Unaweza ukatumi jiko la mkaa kama mbadala ya bulb. Ila ni muhimu pia kuwawekea mwanga hasa nyakati za usiku
 
Hatimae kampuni yetu imezindua kuku bora chotara aina ya Sasso. Hii ni mbegu iliyokuwa inasubiriwa kwa muda mrefu. Kuku hawa ni chotara na wanaweza kufugwa kwa mbinu za kienyeji ( free range). Wanafaa zaidi kwa nyama. Kuku hawa hufikia kiasi cha kilo mbili ndani ya siku 50 tu, miezi miwili kasoro, hufikia wastani wa kilo 4 wakiwa na siku 80.

Kuku hawa huitwa broiler wa kienyeji. Wanasoko sana hasa kipindi hiki jamii imegeukia ulaji wa vitu vya kiasili.

Tupo Tegeta Bahari Beach, Dar es Salaam. Namba ya simu 0755815174.

Weka order yako sasa. Gharama ni 2500 kwa kifaranga.

Pia tunao kuku chotara, aina ya black autralorps, rhode island red, sussex na kenbro. Kuku wetu pia hufikia uzito wa kilo 3.5 mpaka 4. Karibuni sana.
 
Attachments

  • WP_20151123_009.jpg
    WP_20151123_009.jpg
    241.4 KB · Views: 386
  • WP_20151123_001.jpg
    WP_20151123_001.jpg
    339.2 KB · Views: 385
  • WP_20151118_001.jpg
    WP_20151118_001.jpg
    318.4 KB · Views: 359
  • WP_20151118_004.jpg
    WP_20151118_004.jpg
    255.6 KB · Views: 346
Mmmhh Kilo 4 ndani ya siku 80? Wanalishwa nn mkuu
 
Hii promo inabidi uingie kwa uangalifu , kama kifaranga sh 1800, na sh 2500 , sijui utauza bei ya mbuzi
 
Thanks a lot. A long awaited opportunity! I will press my order right a way! Maana vijikuku vyetu vingine kutaga huanza after 6 good months!!! Kama ni kweli this is a break through
 
Pia tutafute kupitia 0789138968 (baada ya saa 11 jioni) ama 0742518698 (wakati wowote) ama 0758040452 (ama wakati wowote) kuku chotara malawi; pure kienyeji; kuroiler kwa Arusha - Usa River
 
Hahaha. Ndio wewe?? Ginner au mkuu kaingilia Tangazo lako
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom