kitanguz
Member
- Jan 11, 2018
- 15
- 2
Wanauzwa kuku vifaranga vya mwezi mmoja.kuku aina ya kuroiler wanauwezo mkubwa wa kutaga mayai pia niwazuri na watamu kwa nyama wnauzito mkubwa kuanzia kilo mbili nakuendelea ndani ya miezi mitatu tu ni kuku wazuri na nyama yao ni tamu sana wanapatikana kwa order kila mkoa ukiwahitaji njoo pm..huduma ya ushauri wa kitaalam inapatikana bure kabisa!!!