Kevin5000
Member
- Mar 20, 2019
- 13
- 3
Nikweli mkuu, hawa kuku aina ya kuchi ni kiboko kwa kupigana, na kwakua umeweka mawasiliano yako ya simu hapo juu.... ikitokea nimewaona hapa mtaani kwetu wana pigana, nitakupigia ufike haraka ili utulize mtanange huo....Kuku aina ya kuchi, 0679228374View attachment 1049646View attachment 1049647
Sent using Jamii Forums mobile app

