SOVIET UNION
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 510
- 1,402
Wanapatikanaje arushaHao ni KARI hao kuku ni badala ya layers kwenye utagaji. Kenya wanawafuga sana on behalf of Layers
yes unaweza.wapata Arusha mkuuWanapatikanaje arusha
KisongoSehemu gan
Mkuu je unao? nawapate kwa dar?Kisongo
Kisongo kubwa mkuu tupiamo na macontact mkuu pamoja na beiKisongo
Kisongo kubwa mkuu ungetupiamo macontact na jinsia ya bei yakoKisongo
Jirani na St Magreth mkuuKisongo kubwa mkuu ungetupiamo macontact na jinsia ya bei yako
Sijajua mkuuMwanza kuna mtu anaefuga hawa KARI??
Unasafirishiwa kwa magari ya MagazetiMkuu je unao? nawapate kwa dar?
Unasafirishiwa kwa magari ya Magazeti
kutaga ni wiki ya 18 wanaanza. sh 2500 wa siku mojaSawa sawa mkuu je unauzaje hapo kwako na mpaka waanze kutaga wanachukua mda gani hasaaa??me nipo dar nawahitaji hao....
kutaga ni wiki ya 18 wanaanza. sh 2500 wa siku moja
280 hadi 300Kwa mwaka wanataga mayai mangapi kwa mwaka?