Kukosekana pesa ya kukamilisha ujenzi Airport Dar

Serikali itazisoma comment zenu hapa hapa JF, then jumatatu watatoa tamko.
 
Makusanyo feki,matamko feki mishahara hamna.budget inakata mda wowote kuanzia mwezi ujao mategemeo ni mkopo kutoka china ili wasiaibike
 
jengo lilitakiwa kuisha mwaka Jana mwezi wa 8 , lakini mpaka sasa jengo limekamilika kwa 65%
 
Unajua...in Lema voice.

Unapokuwa kiongozi mpya maana yake ni kuendeleza yale uliyoyakuta na sio kuharibu kila ulichokikuta
 
Back
Top Bottom