Kukosea namba kwanipa msichana bikra

Poa nitaacha
 
Alafu utamwacha!!! Baadae mlalamike hamna wasichana bikra [emoji36][emoji36][emoji36]
Ukweli hapa napanga namna ya kumuacha bila kumuumiza
 
Inategemeana na mbwa mwenyewe maana mi mbwa mingine huwa imejazia kama mithili ya yule mla ***NGAU*** you know.... So inakuwa ngumu kulika mpaka jasho jingi limtoke chatu!!!!
Le mubebezi?
 
Reactions: lup
Jf banaaa,,, kila mmoja anajimwaga tu,,, wavulana kwa wazee,,,, mradi rahaa,,,, na usawa huu,, aaahh,,, wacha watu wamwage ya moyoni,,,
 
Wee bikra haitoki damu kaka hiyo changa la macho
 
Reactions: lup
Rafiki kitu ninachokuambia ni kweli.. Ana miaka 25 na Jana ndio nimemaliza mchezo wote..
Hongera, ila inaonesha unathamn sana bikra, ndo ushaitoa cjui utajisifia nn kesho.[emoji107]
 
Reactions: lup
Bikra zipo saana tu, sijui kwa nini wanaume mmekuwa wagumu kuamini hilo. Au ni sababu nyie ndo mwaziondoa kabla hata hazijakoma!!!
Wapo watoto wa kike wanaojitunza sana tuu
 
Bikra zipo, nilimuoa mke wangu akiwa na miaka 24, na alikuwa bikra. naishi naye hadi leo nimezaa naye watoto na sitamwacha.
 
Wanazilia na chumvi zikiwa bado hazijakomaa! Tutafika tu
Bikra zipo saana tu, sijui kwa nini wanaume mmekuwa wagumu kuamini hilo. Au ni sababu nyie ndo mwaziondoa kabla hata hazijakoma!!!
Wapo watoto wa kike wanaojitunza sana tuu
Sana l
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…