Mzee wa SUP
Member
- Mar 19, 2012
- 62
- 18
umejuaje hujiamini na kitu gani kimekupelekea kuandika kuwa hujiamini.. enhee...
Vizur ww unajitambua kwamba hujiamin pole zao wasiojijua
Kuna mtangazaji mmoja wa clouds fm anaitwa HARRIS KAPIGA, huyu jamaa pia ni mchungaji wa kanisa moja liko pale sinza kamanyola linaitwa NCHI YA HADI. Jamaa pale kanisani kwake kwa kila jumapili huwa anaongoza semina za vijana zinazosaidia watu kuwa na confidence juu ya masuala mbalimbali ya kijamii, semina hizi pia huwa wanakuja watu maarufu tofautitofauti ili kusaidia kuelezea mada iliyopo kwa siku hiyo juu ya somo husika, so ni bora bro ukajitahidi kujisogeza maeneo yale.
Vuta bangi ukiisema 'Bangi nibangue, niwe najiamini sana mbele ya watu'
Kaka/Dada bangi zipo nyingi sana,nasikia kuna chaArusha,Shinyanga n.k,,sasa nivute ya wapi ???Vuta bangi ukiisema 'Bangi nibangue, niwe najiamini sana mbele ya watu'
Umesoma kuhusu Ego?Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23,nipo chuo kikuu X mwaka wa pili.
Tatizo langu kubwa ni ukosefu wa kutojiamini mara kwa mara,muda mwingine hata kama nikiwa na watu ambao nimewazidi hadhi i.e elimu,pesa n.k lakini bado sijiamini kabisa!nimejaribu kusoma article mbalimbali za saikolozi{how to improve self-esteem} nazielewa lakini bado naona kama kwangu vimefail kuwa applied.Lakini watu wengi sana wananipenda,wananijali,wananisikiliza,wanapenda kuwa rafiki na mimi..kiujumla hawanidharau hata siku moja!sasa ndugu zangu ebu nipeni ushauri ambao unaweza kufanyiwa kazi kwenye maisha asilia ili na mimi kinitoke hiki kidude cha kutojiamini !!