[emoji4]wazee wa fursaNi ngumu kupata jibu kwa sababu ya tatizo hilo linasababishwa na changamoto nyingi: za kisaikolojia, kibailojia na mtindo wa maisha
All in all, Sababu zote zinaeñda kudelay uzalishwaji wa homoni ya testosterone ambayo ndio kichocheo kikuu cha hisia za kimapenzi (sexual drive)
Unaweza ukawa na changamoto o za
[emoji2389] Kibailojia kama vile uzito mkubwa, presha, kisukari, magonjwa ya moyo, Hormonal imbalance (mvurugiko wa homoni), nk
[emoji2390] Matatizo ya kisaikolojia: huzuni na msongo wa mawazo
[emoji2391]Mfumo wa maisha: Ulaji wako, unywaji wako, ulaji wako, kufanya mazoezi vyote vinachangia kwenye tatizo
Mahojiano ya kina yanahitajika,,
Kama hautojali karibu pm, Mimi ni ambassador wa kampuni ya forever, for sure nimewasaidia watu wengi kwenye changamoto za kiafya ikiwemo Upungufu wa nguvu za kiume
karibu sana
sawa mkuu nitakujaNi ngumu kupata jibu kwa sababu ya tatizo hilo linasababishwa na changamoto nyingi: za kisaikolojia, kibailojia na mtindo wa maisha
All in all, Sababu zote zinaeñda kudelay uzalishwaji wa homoni ya testosterone ambayo ndio kichocheo kikuu cha hisia za kimapenzi (sexual drive)
Unaweza ukawa na changamoto o za
1️⃣ Kibailojia kama vile uzito mkubwa, presha, kisukari, magonjwa ya moyo, Hormonal imbalance (mvurugiko wa homoni), nk
2️⃣ Matatizo ya kisaikolojia: huzuni na msongo wa mawazo
3️⃣Mfumo wa maisha: Ulaji wako, unywaji wako, ulaji wako, kufanya mazoezi vyote vinachangia kwenye tatizo
Mahojiano ya kina yanahitajika,,
Kama hautojali karibu pm, Mimi ni ambassador wa kampuni ya forever, for sure nimewasaidia watu wengi kwenye changamoto za kiafya ikiwemo Upungufu wa nguvu za kiume
karibu sana
Emotional numbness. Hii husababizhwa na extreme stress or mental disorders, or unywaji wa pombe ulipitiliza viwangoHabari za majukumu. jamani wana jamii nina matatizo ya kuto kupata hamu ya tendo la ndoa. Pia sina hisia za kupenda wanawake au mausiano kwa ujumla.
Na niliamua kumsafilisha mke wangu mwaka jana na sina hisia nae kabisa. Je nitakua nina matatizo kiafya.
Stress hazitoki tu kwenye umaskini. Unaweza kuwa nazo na stress ikakugonga eneo usilotarajiaMleta mada tafuta hela. Huna hamu ya mgegedo kwasabb ya stress ya umaskini.
Habari za majukumu. jamani wana jamii nina matatizo ya kuto kupata hamu ya tendo la ndoa. Pia sina hisia za kupenda wanawake au mausiano kwa ujumla.
Na niliamua kumsafilisha mke wangu mwaka jana na sina hisia nae kabisa. Je nitakua nina matatizo kiafya.
Basi itakuwa umri umesonga sanaStress hazitoki tu kwenye umaskini. Unaweza kuwa nazo na stress ikakugonga eneo usilotarajia
Sio kweli mm nna 40+ ila nipo vizuri kuliko vijana wa 30sBasi itakuwa umri umesonga sana
Itakuwa ulichakatana Sana (hukuwa na kiasi) siku za nyuma mpk homoni za hamu zikaisha kabisa mwilini mwako.Sio kweli mm nna 40+ ila nipo vizuri kuliko vijana wa 30s
Haya maswali ya msingiHali ya Uchumi wako kwa Sasa ikoje kwani?
Huna migogoro na mkeo?
Mkeo anaperfom vizur kweli KWENYE tendo?
Ukiamka asbh unasimamisha au imelala?
Jibu kwanza ayo
Sent using Jamii Forums mobile app