Kukopeshana ni mwanzo wa Uadui

Sikopeshi mtu kirahisi, week kitu Bondi chenye thamani ya pesa unayotaka au zaidi. Tofauti na happy kwaher

Sent using Jamii Forums mobile app
Saa 50,000 mtu aweke bond nini?[emoji23]
Hela nyingine unatoa tu akikudhulumu ndo anakua amejifungia milango ya kusaidiwa siku nyingine...
Mtu akikukopa kama huna uhakika nae mpe kiwango kidogo cha ile aloomba. Kiasi ambacho hata asiporudisha haikuumizi....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mikopo na matumizi ya familia na shule kwa watoto, hapo hujaongelea extended families. Hiyo 3M inayeyuka fasta
Kwa 3m?! Yani kwa matumizi yami m3 iishe katikati ya mwezi au unatumia 200k per day?!
 

Kuna jamaa zangu wanne, tupo nao karibu Sana walinikopa 50k watatu , mwingine 200k, sijawadai Ila Nafurahi coz hawataweza kuja kunikopa Tena na sitawapa hata wapate shida gani, wslijisahaulisha wakaja kukopa Tena sikuwakumbusha niliwaambia tu Sina hela kabisa, Raha Sana Mana Ni watu wanaonizunguka hao wengine Ni rahisi kuwakatalia , Hawa Ni ngumu nimepata dawa tao
 
Kuna mikopo na matumizi ya familia na shule kwa watoto, hapo hujaongelea extended families. Hiyo 3M inayeyuka fasta
Hayo yote achana nayo maana ada haulipi kula mwezi
 
Aisee kukopeshana me hapana. Same things kimetokea kwangu dah. Yaani mtu alikua na shida sana akaomba 200,000/= dah nikajitoa nikampa aisee tokea July 2019 Hadi 2020 kanilipa 50,000 tu viteteo kibao. Sema basi tu life goes on.
Mimi kuna mtu nataka "kumroga" kwa kutaka kunidhulumu zaidi ya 2M tangu 2015 hadi leo!
 
Sasa hayo mambo yakujuana sana hua yanafanyika PM mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…