Alafu unajua ndio maana mabenki yanatajirika kwa kupitia uninga wetu. Tungekuwa twakopesha na kurudishiana in time mbona hamna haja ya kwenda bank.Aisee kukopeshana me hapana. Same things kimetokea kwangu dah. Yaani mtu alikua na shida sana akaomba 200,000/= dah nikajitoa nikampa aisee tokea July 2019 Hadi 2020 kanilipa 50,000 tu viteteo kibao. Sema basi tu life goes on.
Wee unajua papuchi i aweza kumufilisi hiyo m3 ikaisha ndani ya wikiKwa 3m?! Yani kwa matumizi yami m3 iishe katikati ya mwezi au unatumia 200k per day?!
Kwakweli watu tupo tofauti Sana kwakweliKuna watu hawaogopi kudaiwa
Kuna watu hawaogopi kudhulumu
Kuna watu hawaogopi kupoteza urafiki kwa sababu ya deni
Jr[emoji769]
Labda ilikuwa 3K bidada ndio hakuona vizuriVp kama aligushi salary slip
M3 take home kukopa 50k uongo anamatumizi ya aina gani huyo jamaa
Tuanzie hapoVp kama aligushi salary slip
M3 take home kukopa 50k uongo anamatumizi ya aina gani huyo jamaa
Kuna watu hawaogopi kudaiwa
Kuna watu hawaogopi kudhulumu
Kuna watu hawaogopi kupoteza urafiki kwa sababu ya deni
Jr[emoji769]
OkHebu fanya uatafiti ujiridhishe kama kweli ni yeye uliwasiliana nae, maana huenda umetapeliwa na Mtu mwingine.
Pole Sana bidada...Mimi hiyo 50K naiona nyingi...yakwako ningegalagala.Mimi namdai rafiki yangu 750,000/= mwaka mmoja sasa nazungushwa tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpigie kwa namba nyingine. Ulipokuwa unampa mliongea na kuhakikisha ni yeye au uli-respond msg tu? Siku hizi kuna matapeli wanatafuta details za mtu wako wa karibu na namba wanaweza kui-hack unapopata msg unaona kabisa kama imetoka kwa mtu unayemfahamu.
HahahahahahWee unajua papuchi i aweza kumufilisi hiyo m3 ikaisha ndani ya wiki
Chezea bottom power weye... Yaani utashangaa unatoa tuu hadi ndugu unasahau shida zaoHahahahahah
Ukiendekeza sana ni uchizi lknChezea bottom power weye... Yaani utashangaa unatoa tuu hadi ndugu unasahau shida zao
Majibu hutayapata
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119] hakishindikani kituLabda ilikuwa 3K bidada ndio hakuona vizuri