Inategemea na aina ya biashara.. Mfano BIASHARA YA DAWA ZA BINADAMU. Unamkopesha mgonjwa akipona hakulipiKwa wafanyabiashara wote, je unaweza fanya bihashara bila kukopesha? Bihashara yoyote ile iwe kubwa au ndogo.
Je, ni zipi faida za kukopesha na zipi hasara za kukopesha kwenye bihashara?
Welcome
duuu ungejua mtu ambaye ni mlipaji mzuri ni mwanamke usingesema hivi aiseee daaahKopesha wote ila mwanamke usimkopeshe, hata akitoa machozi ya damu. Cha kufanya wewe mpe tu kama msaada. Anaweza asilipe au asilpe kabisa.
Wanawake wengi hawataki kulipa pesa na badala yake hutaka kutoa mbususu kama fidia.duuu ungejua mtu ambaye ni mlipaji mzuri ni mwanamke usingesema hivi aiseee daaah