Sir_Mimi JF-Expert Member Jun 21, 2013 7,159 15,633 Jun 26, 2017 #1 Pale unapozamia kwenye harusi ya Ex wako....
Fascination Member Mar 21, 2015 86 54 Jun 26, 2017 #6 Duhh..siyo kihivyo, cheki hadi shati linataka kutatuka...inaonesha alianzia mbali tuu hiyo huenda ikawa pair ya tatu.. 3*3
Duhh..siyo kihivyo, cheki hadi shati linataka kutatuka...inaonesha alianzia mbali tuu hiyo huenda ikawa pair ya tatu.. 3*3
Sir_Mimi JF-Expert Member Jun 21, 2013 7,159 15,633 Jun 26, 2017 Thread starter #8 Fascination said: Duhh..siyo kihivyo, cheki hadi shati linataka kutatuka...inaonesha alianzia mbali tuu hiyo huenda ikawa pair ya tatu.. 3*3 Click to expand... .......
Fascination said: Duhh..siyo kihivyo, cheki hadi shati linataka kutatuka...inaonesha alianzia mbali tuu hiyo huenda ikawa pair ya tatu.. 3*3 Click to expand... .......
Alisina JF-Expert Member Aug 9, 2016 4,070 4,265 Jun 26, 2017 #9 Hiyo hatari! Mtu bora apelekwe nyumbani na machela lakini sikukiacha chakula.
Dr.adams faida JF-Expert Member Mar 11, 2013 1,830 3,171 Jun 26, 2017 #11 Wenyewe wanaita three in one..a.k.a binge
P Pricillah JF-Expert Member Mar 20, 2016 722 258 Jun 27, 2017 #13 Ha ha haah itakua kuna watu kawashkia hizo sahani nyingine
funzadume JF-Expert Member Jan 28, 2010 13,577 21,075 Jun 27, 2017 #14 Mwacheni ale jamani michango inaumiza sana aisee utakuta kachangia kilo mbili hapo