wadau naomba mnieleze uhusiano uliopo kati ya mate na mkojo, maana watu wengi (hasa wanaume) hutemea mate mkojo walioukojoa wao wenyewe (hasa pale tendo hilo la kukojoa linapofanyikia pembeni ya barabara).

itabidi tuanzishe jukwaa la maswala ya imani zisizo za dini!!!
anyway mkuu hakuna uhusiano, ni kama kusema ukiwa na mimba usile mayai, zilikuwa na lengo la kuzuia watu kukojoa kwa barabara