jema rashid
Member
- Oct 4, 2014
- 80
- 15
Hivi ni kwanini uume wangu ukimakiza kusimama nasikia haja ndigo? Je! Kinachokuwa kimesimamisha uume ni mkojo au ni damu ambayo uingia kwenye mirija ya uume?
Ofcourse ni damu.., na huo unaosikia sio mkojo, ni sperms.., acha ujinga
Punguza u-much know basi!Ofcourse ni damu.., na huo unaosikia sio mkojo, ni sperms.., acha ujinga