Raha inakuja ukiwa umependeza na ukajijua ukapita mahali wanaume wakawa wanakuangalia nawe ukajua then unakuwa kama huwaoni vile, utaskia wale wanaoshindwa kuvumilia wanakusalimia tuu na wengine wanakusindikiza kabisa unakoenda, yaani utakuta mwanaume anabadili njia anayoenda na kumsindikiza mschana anayemuona au kupishana nae barabarani looh.
Mbaya inakuja kwa wale wanaovaa vibaya unaweza bakwa na wale wakware wasioweza vumilia hata wakimuona bata anatembea wanasimamisha.
Saa nyingine perfume unayopaka inamata sana, unaweza pita kwenye kundi la wanaume wakageuka kukutizama na ikitokea mkagongana uso kwa uso utaona anakutabasamia. Hii ni kawaida.