Kukodisha range Rover au BMW

Kibwengo

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2015
Posts
6,983
Reaction score
5,504
Msaada,

Nahitaji kukodisha gari kati ya haya kwa siku moja, BMW au range rover sport kwa ajili ya harusi. Aliye na access anipe gharama yake na contact .
 
Msaada , nahitaj kukodsha gari kati ya haya kwa siku moja , BMW au range rover sport kwa ajili ya harusi . Aliye na access anipe gharama yake na contact .

kama upo dar na harusi itfanyika dar, kwasiku ni laki tano na nusu kwa gari yoyote utakayotaka hapo.

mkataba unaanzia, kumpereka bibi harusi au bwana harusi saloon, kwenyenyumba ya ibada,kupiga picha, ukumbini, kuwapeleka sehemu ya mapumziko usiku huo na mkataba huishia hapo

ukitaka huduma piga namba 0623025774
 
Mkuu nitakuchek ..
 

Dar mnaunda pesa aloo
 
Acheni undezi kiswahili chenyewe hamjui halafu mnajifanya mnakosoa kiingereza. . Jamaa yupo sahihi kabisa.. Mambo ya kufwata kanuni za lugha hukohuko kwenye mitihani yenu ya kuchagua A B C
Hapa tunapiga dili za hela tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…