Chifunanga JF-Expert Member Joined Oct 17, 2010 Posts 290 Reaction score 102 Jan 20, 2011 #1 Wakuu, naona lile jengo la Zain pale morocco kuna baadhi ya sehemu wamekodishwa watu wengine. Je na ule mjengo pale opposite na st. peters, wale jamaa wanautumia mjengo wote, au kuna emti spesi naweza kwenda kukodi niweke kaofisi changu?
Wakuu, naona lile jengo la Zain pale morocco kuna baadhi ya sehemu wamekodishwa watu wengine. Je na ule mjengo pale opposite na st. peters, wale jamaa wanautumia mjengo wote, au kuna emti spesi naweza kwenda kukodi niweke kaofisi changu?
Gama JF-Expert Member Joined Jan 9, 2010 Posts 13,264 Reaction score 4,747 Jan 20, 2011 #2 Chifunanga said: Wakuu, naona lile jengo la Zain pale morocco kuna baadhi ya sehemu wamekodishwa watu wengine. Je na ule mjengo pale opposite na st. peters, wale jamaa wanautumia mjengo wote, au kuna emti spesi naweza kwenda kukodi niweke kaofisi changu? Click to expand... wale walio kodishwa kwenye jengo la zain walituuliza sisi?!, kwani mmiliki wake humjui? Waulize madalali wa kariakoo na magomeni chumba utapata fasta.
Chifunanga said: Wakuu, naona lile jengo la Zain pale morocco kuna baadhi ya sehemu wamekodishwa watu wengine. Je na ule mjengo pale opposite na st. peters, wale jamaa wanautumia mjengo wote, au kuna emti spesi naweza kwenda kukodi niweke kaofisi changu? Click to expand... wale walio kodishwa kwenye jengo la zain walituuliza sisi?!, kwani mmiliki wake humjui? Waulize madalali wa kariakoo na magomeni chumba utapata fasta.