Unasoma kozi gani mdogo wetu?Et ee
Je huko unapopanga kwenda napo ukapoteza?Education
Sana tu mwalimu, ebu maliza shule maisha ya uraiani yapo sana tu, usiwaze kumiliki BMW X5 wakat VITS hujaimudu.Et ee
Mkuu Ni kweli uwezo wa kutafuta mtaji ninao ila duh! Nimechanganyikiwa sana na hii semesterSana tu mwalimu, ebu maliza shule maisha ya uraiani yapo sana tu, usiwaze kumiliki BMW X5 wakat VITS hujaimudu.
Ukirudi mtaani weka vyeti kwa bag utafute mtaji wa nguvu zako achana na HSLB
Kweli Kama Mimi ninayopitia saiv n Mungu tu na roho yangu ndo wanafahamu labda huku jfHii semester ya mwisho inakuwa na mawenge sana kwa finalist.
Wakuu kama una ndugu au mtoto wako yuko mwaka wa mwisho chuoni uwe unamtafuta tafuta kumpa moyo mana vijana tunayopitia ni mazito.
Basi jitaidi umalize usikatishe shule wakati upo mwisho, unaweza kosa kazi miaka 4 ila ukaja kupata uko mbeleni ata kwa kutia nia CCM,Mkuu Ni kweli uwezo wa kutafuta mtaji ninao ila duh! Nimechanganyikiwa sana na hii semester