Umeme umekatika? Eheheheheheeeee ahahahahaaaa kwa kwa kwaaaaaaaa:becky::becky::becky:
kausha basi...
watu wapo gizani we unacheka...Ihihihihihihihihiihiiiiiiiiiiiiiii
Raia mtamkumbuka Muhongo...
Alijitahidi sana kuifanya nishati ya umeme walau iwepo ya kutosha...
Umeme umekatika? Eheheheheheeeee ahahahahaaaa kwa kwa kwaaaaaaaa:becky::becky::becky:
hakuna tofauti yoyote alipokuwepo na sasa...
Mkuu inaonekana unafurahia hii hali wakati watu wanaadhirika.
Una uhakika?
Katika historia ya mawaziri wa wizara ya nishati, Muhongo kajitahidi...
Sio Kikwete wala Ngeleja walioweza kufikia ufanisi wa Sospeter...
We mbea sana! Ni teammuhongo
Una uhakika?
Katika historia ya mawaziri wa wizara ya nishati, Muhongo kajitahidi...
Sio Kikwete wala Ngeleja walioweza kufikia ufanisi wa Sospeter...