Kukatika kwa Umeme Dar

Kukatika kwa Umeme Dar

Grader

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2009
Posts
445
Reaction score
65
Mwenye taarifa ya mgao wa Umeme atuambie kwani sasa hivi Tanesco wamekata Umeme maeneo ya ilala,Buguruni,vingunguti,Tabata na kwingineko. Hivi hii itaelekea wapi na hili suala la umeme
 
Maeneo ya kunduchi ,tegeta,na maeneo ya mbezi beach pia umekatika sasa sijui kwann jamini wahusika mpo humu tujuzeni tujue
 
Wa manzese nanyi mtujuze vp tandare na ubungo mambo safi?
 
Wakazi wa DAR Poleni kila shida ni nyinyi tu,njooni vijijini huku full raha maji bwerere umeme wa solar 24hrs,hakuna joto full handaz....
 
Mwenye taarifa ya mgao wa Umeme atuambie kwani sasa hivi Tanesco wamekata Umeme maeneo ya ilala,Buguruni,vingunguti,Tabata na kwingineko. Hivi hii itaelekea wapi na hili suala la umeme

Nimempigia simu Engineer wa Tanesco ananiambia usharudi umeme.
 
Wanakera sana hawa Tanesco....LUKU za taabu ukifanikiwa kuipata unakatiwa umeme
 
Back
Top Bottom