Kukataliwa kunauma

Tatizo pocha ulituma zisizo halisi ndo maana alipokuona akaona uhalisi wako akasepa
 
Loooh! Mmekutana mitandaon alaf unaumia... Je kama jini??? Akili kumkichwa
 

Daah bro nimekuelewa sana hv viumbe sio kabisa
 

Mapenzi hayana mwenyewe!
 
Unapoongea na mtu kwenye simu, kabla ya kuonana, chochote utakachomuelezea hata kama ni cha kweli, yeye binafsi hujenga taswira yake aitegemeayo yeye. Na kuna vitu ambazo havielezeki mpaka baada ya kuonana. Ni kama... kunuka mdomo, kunuka kwapa, uchafu wa mwili na nguo, ulaji mbaya na kukosa ushawishi.
 
mwsho mkumbshe atafute hela kwa nguvu...na gari...nafkiri koloni lake litarudi.

Hahaha kwani binti Hakujua kama mshkaji hana ndinga? Me nahisi dada hajazielewa swagga za mshkaji. Anyway tusubirie wakikutana tena hiyo jmoc ndo atajua what went wrong
 
kukataliwa kuna uma kwel c uliona mchumipesa nae alivo weweseka kwa mtoto mzur teh teh...
Ila dem atakuwa hajakuelewa yaan umekuwa tofaut na matarajio yake.
 
Kwanza napenda kuwashukuru sana wana jf wenzangu kwa ushauri wenu wote mlonipa!!Jambo nililolifanya ni
1)kumtumia msg kwamba"Japo moyo wake haujanipenda bado nitaendelea kumpenda" kipindi hichi nakichukulia kama kanipa mtihan kwangu!!sitawasiliana nae tena,namba na picha nimefuta ili kumsahau
2)Nimeona nisiende kuonana nae hio jmoc kwani ni kama kwenda kuongeza maumivu hakuna jipya atakalonambia na hata kama akikubali ni kwa kunionea huruma tu!!
3)Badala yake hio jmoc nitasafiri kuelekea dar ili niwe mbali kabisa na huu mkoa nikatulize kichwa changu kwan nikiendelea kuwepo maumivu yanazidi roho ka vile inaniambia nimfwate tena!!
4)Hata akinitafuta sitoonyesha kumjali kama nilivyokuwa namjali mwanzo
Ni hayo tu kwa akili yangu inavyonituma ni kama alikuwa akinizuga mda wote tukiwa twawasiliana kupitia whatsapp na msg basi nia yake ni kupata mtu wa kumpa kampan na ushauri tu wakat wote tukiwa pamoja
 
Hahaha kwani binti Hakujua kama mshkaji hana ndinga? Me nahisi dada hajazielewa swagga za mshkaji. Anyway tusubirie wakikutana tena hiyo jmoc ndo atajua what went wrong

mrejesho ukirid...uwe wa 1 kuni julisha...!!! kwa style hii nakata tamaa na.mm yakuja vuta wife.
 
mrejesho ukirid...uwe wa 1 kuni julisha...!!! kwa style hii nakata tamaa na.mm yakuja vuta wife.

Teh teh ntaku-update. Aah Kila mtu atampata mwenzi wake kwa style yake. Wapo waliofanikiwa na hizi blind dates, na wengine zilifail. So relax, wako atakuja tu kwa njia yake
 

we mwanamke una vituko sana. but napenda style yako ya uandishi
 

Ukifika Dar nitafute nikupeleke baharini ukatoe nuksi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…