Mbona kama ulipendeza tu.......labda hizo raba zilikuwaje.....?.....isije kuwa zile ulimi nje.......au mkate boflo........unajua swala la viatu wadada tunaangalia sana.........
Lakini kwa maelezo yako.......nadhani ulipendeza........dada tu anataka kukuletea tashtiti......we kutana nae hiyo jumamosi.......halafu uje utuambie kasemaje.........
Usisahau kunitag........sawa eeeh.......
Labda ni story ndo hazikumvutia kwasababu alikuwa na haraka ya kurudi home kwan mda ulikuwa umeenda! Mavazi yalikuwa ya kawaida(t-shirt nyeupe,jeans nyeuc na raba nyeupe)! nilimuuliza ka ni muonekano wangu aniambie ukweli akasema muonekane haukuwa na shida!!
Nimeomba niutane nae tena jumamosi ndo atakuwa free!!Ngoja nikamsikilize kama kabadili msimamo wake au ananijaribu
Kwa hiyo sisi wavaa makatambuga imekula kwetu?.
Msema kweli mpenzi wa Mungu. Au ulikuwa umevaaje.? Maana usikute mkanda haukumatch na viatu... au hukupiga mswaki vizuri. Au hukubrush viatu, au ulipaka unyunyu mkali sana, au suruali haikuendana na shati... au ulinyoa kibwenzi... au hukupaka deodorant?
Au ulidundika sana mrembo akamind? au ulilipa bill hukutoa wallet ukafinyia hela mfukoni? Au story zako zilikuwa za my anko... my braza... my anti? Au hukwenda straight to the point?
Naomba usinichukie, nimejaribu kuangalia sehemu zinazotuput off wakinadada...
Usiponijia na Merrel......Salomon......New Balance etc......imekula kwako.........
....Nimeomba niutane nae tena jumamosi ndo atakuwa free!!Ngoja nikamsikilize kama kabadili msimamo wake au ananijaribu
Dada yupi......?.......
Kingine kutafta hawa watu mitandaoni usiweke asilimia miamoja kwamba umempata maana hata wewe inawezekana tu ungekutana na kituko cha mtu ungejuta nakughairi bahat mbaya imekuwa kwako - Jiwe na gizan usilitegemee litoe majib mazuri kivile ni 1/% - Endelea na usajil ila usimpende mtu bila ridhaa yake
Umekosea sana.. Wenzio hzo blind date tunazifanyia maghetoni.. Demu unakua umemshapanga kwamba anakuja gheto.. Akija gheto ukishindwa kula papuchi hiyo ni ujinga wako. Ukila papuchi hata kama aseme hakutaki haiumi..
Mimi ningemwambia umeniwahi nilitaka kukuambia nilivyokuona kwa picha tofauti na leo..
Msema kweli mpenzi wa Mungu. Au ulikuwa umevaaje.? Maana usikute mkanda haukumatch na viatu... au hukupiga mswaki vizuri. Au hukubrush viatu, au ulipaka unyunyu mkali sana, au suruali haikuendana na shati... au ulinyoa kibwenzi... au hukupaka deodorant?
Au ulidundika sana mrembo akamind? au ulilipa bill hukutoa wallet ukafinyia hela mfukoni? Au story zako zilikuwa za my anko... my braza... my anti? Au hukwenda straight to the point?
Naomba usinichukie, nimejaribu kuangalia sehemu zinazotuput off wakinadada...
Kaka tupo ndani ya mwezi wa ramadhan hivo haikuwezekana kufanya hivyo wote tulikuwa tumefunga!hata kukumbatiana haikuwezekana