Kukataliwa kibali wakati uliqualify usaili

gwajae

Member
Joined
Apr 15, 2019
Posts
12
Reaction score
6
Naomba ushauri wenu wanajamii forum:
Nilifanya usaili kuhamia university km warden nikitokea Sekondari na nikaqualify.

Chuo kikatuma ombi la vibali vya uhamisho Utumishi Dodoma, sasa vibali vimetoka ila baadhi ya walioombewa nikiwepo mm utumishi wamekatalia eti kwa sababu ya kwamba mwajiri (DED) kazuia uhamisho wngu.

Barua yngu ya maombi mkuu ndo aliecomment kuwa bado ananihitaji kituon lkn co DED wala afisa elimu.Hapo shda iko wapi na nn kifanyike ili nafasi yangu isipotee?

Msaada tafadhali.
 
Naishi nae vizuri sana kaka, sina tatizo naye. Naomba ushauri nifanyaje hapo lilipofikia. Chuoni wamenambia nafasi yangu bado ipo.
 
Vyovyote itakavyokuwa, hata kama wana kuhitaji kiasi gani na huku wewe akili yako ipo kwenye nafasi ya Warden.

Madhara yake, yataenda kwako wewe na huyo aliyekatalia uhamisho wako.

Madhara kwako ni, hutoipenda tena hiyo kazi unayoifanya na itapelekea hata ufanisi wako kupungua kwa zaidi ya 50%. Utajiona mfungwa na Mtu asiyekuwa huru kwa kika jambo. Sio tu itaathiri utendaji wako, pia hata maisha yako binafsi yanaenda kuathirika.

Kwa huyo DED na wanafunzi wataathirika kwa wanafunzi kukosa ubora wa kile ulichokuwa unakitoa. Hawataona hili leo, lakini baada ya miaka miwili kuanzia sasa ndio yataonekana matokeo ya maamuzi yao ya leo.

Kibaya zaidi, unaweza kuwa na tatizo la Afya ya Akili usipokuwa makini
 
Nzuri, toa ushauri sasa
 
ongea na mkuu wako au ongea na afisa elimu na utumishi wakusaidie kuongea nae...

ila vyema uanze kuongea nae kwanza mkuu wako kumuomba akusaidie ktk hili na ikizingtiwa walimu wengine wana kuja serikali ina wapangia vituo...

hapo ni wewe kutumia diplomasia kufanikisha hili... au labda ana taka fungu la samaki...
 
Naomba ushauri wenu wanajamii forum:
Nilifanya usaili kuhamia university km warden nikitokea Sekondari na nikaqualify.

Chuo kikatuma ombi la vibali vya uhamisho Utumishi Dodoma, sasa vibali vimetoka ila baadhi ya walioombewa nikiwepo mm utumishi wamekatalia eti kwa sababu ya kwamba mwajiri (DED) kazuia uhamisho wngu.

Barua yngu ya maombi mkuu ndo aliecomment kuwa bado ananihitaji kituon lkn co DED wala afisa elimu.Hapo shda iko wapi na nn kifanyike ili nafasi yangu isipotee?

Msaada tafadhali.
mkono mtupu haulambwi,sasa wewe unatoka kwenye kula chaki unaenda kwenye mzinga wa asali lazima akubanie tu
 
Naishi nae vizuri sana kaka, sina tatizo naye. Naomba ushauri nifanyaje hapo lilipofikia. Chuoni wamenambia nafasi yangu bado ipo.
Mkuu hata kama huna Imani basi jaribu tu kwenda KAWE nina hakika utaipata hiyo nafasi.
Amini tu Mungu atatenda.
 
ongea na mkuu wako au ongea na afisa elimu na utumishi wakusaidie kuongea nae...

ila vyema uanze kuongea nae kwanza mkuu wako kumuomba akusaidie ktk hili na ikizingtiwa walimu wengine wana kuja serikali ina wapangia vituo...

hapo ni wewe kutumia diplomasia kufanikisha hili... au labda ana taka fungu la samaki...
Nashukuru sana ndugu yangu kwa ushauri mzuri....ngoja niufanyie kazi.
 
Wakati unaomba mkurugenzi si alipitisha barua yako au hukupitisha barua ...huyo mkuu wako ametisha
 
Naomba ushauri wenu wanajamii forum:
Nilifanya usaili kuhamia university km warden nikitokea Sekondari na nikaqualify.

Chuo kikatuma ombi la vibali vya uhamisho Utumishi Dodoma, sasa vibali vimetoka ila baadhi ya walioombewa nikiwepo mm utumishi wamekatalia eti kwa sababu ya kwamba mwajiri (DED) kazuia uhamisho wngu.

Barua yngu ya maombi mkuu ndo aliecomment kuwa bado ananihitaji kituon lkn co DED wala afisa elimu.Hapo shda iko wapi na nn kifanyike ili nafasi yangu isipotee?

Msaada tafadhali.
Nenda dodoma utarudi na barua yako mkononi
 
Ndugu yangu pole sana...NENDA DODOMA UTUMISHI kawaeleze watakupa barua hiyo ni issue ndogo sana. Kama upo mbali sana wapigie utumishi namba hii 026 216 0240 piga siku za kazi tu na muda wa kazi tu ...simu hiyo ni huduma kwa wateja tena ni bure kabisa kama uvyopiga voda, Airtel n.k yatatokea maelekezo utafuata na mwisho utaongea na mtoa huduma
 
PANDA BUS NENDA DODOMA HARAKA
Nenda Wizara ya Utumishi ofisi zao zipo UDOM nenda kajieleze watakuelewa tu...
Ukichelewa zaidi ya mwezi mmoja nafas yako inapewa mtu mwingine...
All in all mchawi wako namba 1 ni Mkuu wako wa shule, maanina zake
 
Back
Top Bottom