Dah yangu walinikatia tena SAPNA na wakakosea ikafa kabisa pale pale!!! Nilipata hasira sana. Kama una line ya voda nenda ondoa data za line kama sim contacts halafu nenda Vodacom wanazo line ndogo wanauza nadhani ni 2,500. Ila ujue sasa kama utanunua simu lazima uhakikishe ni ya microchips.
Ingiza hii namba unipe majibu,,,,,*#0*# na hii *#1234*#....zikubali jua ndio original,,,zikikataa jua ni copy ila kuna makubaliano wameweka na samsung,,,,,zote ni nzuri tu,,,swala la line ni sawa lazima ukate ,,unaweza tumia nailcuter,,hakikisha unaondoa kava lote la plastiki na kubakiza zile sehemu zenye rangi ya gold tu,,,