Kukariri darasa

mohamedn

Member
Joined
Feb 19, 2009
Posts
55
Reaction score
39
Wakuu Habari,

Naomba msaada wa kujua ni njia gani zinaweza kutumika kukariri darasa kwa mtoto aliekuwa kidato cha kwanza na ambae nahitaji arudie tena kidato hicho hicho kutokana na ufaulu wake kuwa hafifu.
 
Kwa kigezo cha ufaulu hafifu haikubaliki,labda uwe na sababu nyingine kama kuumwa mtoto kuliko sababisha mahudhurio hafifu n.k...
 
Wakuu Habari,

Naomba msaada wa kujua ni njia gani zinaweza kutumika kukariri darasa kwa mtoto aliekuwa kidato cha kwanza na ambae nahitaji arudie tena kidato hicho hicho kutokana na ufaulu wake kuwa hafifu.
ONANA NA WALIMU WA SHULE HUSIKA
 
Nashukuru lakini kwa walimu wa shule inaonekana upande wao ni vigumu mpaka nifuatilie mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…