Kukaliwa na mwanamke

The husband is the head of the family; the wife is the neck. 'And the neck turns the head.'
 
Kwahiyo pesa ikionekana nyumbani ruksa kushinda bar siyo?

Unatakiwa kujua wewe ni nani na nafasi yako ni ipi kwenye familia. Kama unaona kutoa pesa na usiwepo home ni sawa. Lakini kuna wkt utafika hutaona marafiki wala nani ni hao wtt na mkeo so since ulikuwa unashinda bar na wao watakuona ni stranger kwenye maisha yao. Halafu utaanza kulalamika familia hainipendi
 
nimekuuliza swali kutokana na ulichoandika pale juu ,,,,,,,,, siku nyingine uwe makini na uanachoandika.
 

nakupa like 100 umeongea jambo la maana sana sana sana..i wish mtu mmoja tu angepqta huu ujumbe
 
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…