C clemencemlai Member Joined May 3, 2010 Posts 24 Reaction score 2 Dec 6, 2011 #1 nimezunguka maeneo mengi hapa bongo , nikakuta vijana wengi hupenda kukaa katika vikundi ambavyo si rasmi ,nahukaa hapo pengine hadi majira ya jioni,je nini manufaa ya kukaa hivyo?na kama kuna gharama yeyote
nimezunguka maeneo mengi hapa bongo , nikakuta vijana wengi hupenda kukaa katika vikundi ambavyo si rasmi ,nahukaa hapo pengine hadi majira ya jioni,je nini manufaa ya kukaa hivyo?na kama kuna gharama yeyote