Kujuzwa, ni kweli kuna dawa ya nguvu za kiume

Dawa ya Nguvu ya Kiume???? Sasa Kama Wewe Mwanamme unataka Nguvu Si Nenda Gym tu...
 
Ishawahi everhurt, post: 18401272, member: 337075"]Pweza mkavu, chemsha na mizizi ya mti wa mbilimbili,

Kunywa mara mbili kwa siku kwa muda wa siku 10 MFULULIZO.[/QUOTE]
Ushawahi kutumia
 
hskuna dawa sababu ho si ugonjwa ni Ukosefu wa kitu fulan mwilin ndio una kua na upungufu kama njaa utaitaj chakula kama kiu utaitaj maj sasa baada ua kula chakula ule dawa za kupooza njaa unajimaliza bure viagra na madawa ya kienyej yanaua uwezo wa watu mimi natoa formula ya matunda tu ambayo utakula kwa mda wa week kadhaa lakin kuanzia day two utaona change ndan ya week utapona lakin usiache endelea bnayo mpka mwili uwe na uwezo wa asili so unaweza fanya week mbili mwez na nk lakin uendelee kujaza vitamin hiv siku moja moja ili mwili uwe fit kimapenz gharama za ujuz wangu ni 20000 elfu 20 tu
 
Wewe tapeli tu, kwanini usiweke hapa unufaishe umma, mpaka ukapewe 20 elfu
 
Wewe tapeli tu, kwanini usiweke hapa unufaishe umma, mpaka ukapewe 20 elfu
ujuzi huu sikuupata bure nilihangaila sana kufanya tafit nishakubali had kula mavi ya mbuzi kama karanga na mkojo wa ngombe ili kutafuta utatuzi hakuna mzizi ambao sijaula nimekula had mboga za majan bila kupikwa nimehangaika sana leo bipa huruma eti nitoe bureee ...hahaaa sawa mi tapeli ila angalia wwnzake wanavyopona katika instagram accountvyangu

by the way hii ni kaz kama kaz zingine nimeoa ninalipa kodi kwa kaz hiii ya kutibu watu je kaz unayofanya ipo tayar kusaidia bure kama biashara na nk

zipo ila hamna dawa ya kutibu upungufu wa nguvu za kiume kwa madhara ya nyeto....hamna hamna hamna hamna hamna hamna hasa hapa tanzania hamna kbs
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom