Kujuzwa kuhusu chuo cha jordan-morogoro

Kujuzwa kuhusu chuo cha jordan-morogoro

kukutia

Member
Joined
Sep 26, 2016
Posts
24
Reaction score
8
Habarini wadau naomben mwenye kujua kiundan chuo cha jordan hasa kwa kitivo cha sheria yaan taaluma kikoje?? Waalimu wapo wa kutosha?? Naomben msaada tafadhali
 
kipo powa 2 we nenda utaki subir 2017/2018 tcu wakupangie kwingine
 
Back
Top Bottom