Ndio physica education ni somo ambalo lipo kwenye mitaala ya vyuo vya ualimu hasa secondari na ni somo linalo husu namna viungo vya mwili vinavyo fanya kazi zikiwemo joints,muscles, mifupa nk na namna ya kutoa huduma ya kwanza kwa mtu anaye pata tatizo katika viungo hivyo mfano akiwa michezoni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.