kujua kama unapendwa

Demu kama anakupenda Hatoisha kukupiga Mizinga.

Mwanamke kama anakupenda ATAKUTII .ile mpaka unaitwa "My King''
 
Bdo siku hizi mnauliza kama mnapendwa kweli?
 
akikuomba hela siku ya kwanza tu kupeana namba huyo ankupenda sana
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] usijali utabadilika na utaachana na Facebook humu hutoki bure
 
Bonyeza *150*05# kama ni mteja wa voda na jibu lako hakika utalipata
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…