johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,036
- 142,106
Wakati wowote bundi anatua Tanganyika simpatii picha Yule mwenye moyo wa betriiRais Zuma amesema hajafanya makosa yoyote ila anajiuzulu ili chama chake cha ANC kisipasuke katikati. Hii sababu ya Zuma imenikumbusha ile sababu ya mh Lowassa kwamba yeye hajatenda kosa lolote ila anajiuzulu ili kuinusuru serikali isianguke. Nimeipenda hii sababu ya " kunusuru" inayopenda kutolewa na viongozi wa Afrika pindi wanapolazimika/ lazimishwa kujiuzulu. Mlale unono usiku mwema!
lala unono kivyako hukoRais Zuma amesema hajafanya makosa yoyote ila anajiuzulu ili chama chake cha ANC kisipasuke katikati. Hii sababu ya Zuma imenikumbusha ile sababu ya mh Lowassa kwamba yeye hajatenda kosa lolote ila anajiuzulu ili kuinusuru serikali isianguke. Nimeipenda hii sababu ya " kunusuru" inayopenda kutolewa na viongozi wa Afrika pindi wanapolazimika/ lazimishwa kujiuzulu. Mlale unono usiku mwema!
Rais Zuma amesema hajafanya makosa yoyote ila anajiuzulu ili chama chake cha ANC kisipasuke katikati. Hii sababu ya Zuma imenikumbusha ile sababu ya mh Lowassa kwamba yeye hajatenda kosa lolote ila anajiuzulu ili kuinusuru serikali isianguke. Nimeipenda hii sababu ya " kunusuru" inayopenda kutolewa na viongozi wa Afrika pindi wanapolazimika/ lazimishwa kujiuzulu. Mlale unono usiku mwema!
Mbona wewe hujitaji unamsakizia Lissu!Bado jamaa wa E.Africa anayejinasibu mtetezi wa wanyonge .
Miradi ya ujenzi wa miundo mbinu,utoaji tenda kishikaji n.a. kinyume cha taratibu/sheria zitamgharimu iwapo watu wenye "uzalendo"wa dhati wataamua kuweka masilahi ya nchi mbele.
A.Kusini wana Malema, Tz tuna Lissu. Tofauti ni "wanatumikaje?"
Kama hii ndio kanuni, basi hata wale waliomshambulia Lissu malipo yatakuwa hapa hapa.Upepo umegeuka alichomfanyia Thabo Mbeki ndo hicho kimemrudia yeye. Malipo ni hapa hapa duniani
Africa yangu na tz yangu mapichapicha yamezidiKama hii ndio kanuni, basi hata wale waliomshambulia Lissu malipo yatakuwa hapa hapa.
Ni maoni,pendekezo au lalamiko?Mbona wewe hujitaji unamsakizia Lissu!
Hao watu ni wabongo au wasauzi?!!Kuna watu walibisha kuwa Zuma haondoki ikulu....! Nawatafuta niskie wanasema nini sasa!