Kujiunga na JWTZ: Msaada

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,967
Reaction score
104,330
Kuna mtu anasema kujiunga na jeshi siyo lazima uwe na cheti cha form four, only leaving certificate. Eti ni kweli? Actually amekwenda mbali zaidi na kusema unaweza kuingia na cheti cha kughushi na ukapokelewa kwa vile jeshini hakuna kuhakiki. Ni kweli jamani!
 
Usilitanie jeshi letu la wananchi kua wanaweza kuchukua vibonde.kumbuka ile sifa ya jeshi letu kua ni lenye nidhamu na hivyo ni ngumu kukuta wanafanya mambo ya ajabu.binafsi siamini hilo.jaribu kuliheshimu jeshi letu tafadhari
 
Nakwambia nilichoambiwa na mtu na anafanya process za kujiunga. Unapokosa kunielewa nasikitika!
 
Haiwezekani kwa sawa,japo mwanzo ilikuwa inawezekana na askari wengi wa JWTZ waliojiunga miaka ya kuanzia 80,mpaka 90 kuja mpaka 95 wengi elimu zao ni primary
 
Basi kuna kijana nadhani wanamtapeli maana yuko kwa balozi afanya process wakati ana div zero flat. anaambiwa kuwa kule hakuna uhakiki!
 
Hata wewe unataka kujiunga?
By the way hakuna njia ya mkato kujiunga...
Huyo anaibiwa mwambie anajisumbua tu. Akimaliza kujaza huko kwa balozi aende huko kwenye interview bila ya kutoa hata senti.
Kitu kingine nafasi za jeshi mpaka zile za JKT zitakazotangazwa.
 
Kama umesomea medicine,nursing, pharmacy jwtz wametangaza ajira lakini vinginevyo hadi uende Ukaenye Jkt kwanza
 
Basi kuna kijana nadhani wanamtapeli maana yuko kwa balozi afanya process wakati ana div zero flat. anaambiwa kuwa kule hakuna uhakiki!
Atatapeliwa Hugo,vyuma havina grisi watu watia mpaka mafuta ya kula
 
Nakwambia kinachoendelea kwa habari za kijana mmoja. Eti leaving certificate inatosha? Is that true? Nadhani ni kwa vile wanajeshi hawakuhakikiwa!
 
Unaniju?
 
Haiwezekani kwa sawa,japo mwanzo ilikuwa inawezekana na askari wengi wa JWTZ waliojiunga miaka ya kuanzia 80,mpaka 90 kuja mpaka 95 wengi elimu zao ni primary
Kwa taarifa yako hata darasa la saba wanaenda hadi leo.....JW wanachukua watu toka JKT na Mgambo na darasa la saba wanakuwepo hasa kwa upande wa wanaotoka mgambo...hasa wale (talented)..nenda hata wilayani wanakotangazaga hizo nafasi darasa la saba wanakuwepo...
 
Usilitanie jeshi letu la wananchi kua wanaweza kuchukua vibonde.kumbuka ile sifa ya jeshi letu kua ni lenye nidhamu na hivyo ni ngumu kukuta wanafanya mambo ya ajabu.binafsi siamini hilo.jaribu kuliheshimu jeshi letu tafadhari

Cool down bro usipanic

Jeshi lenu wee na baba ako ama

Soma mada vizuri kisha jibu kile unacho jua
 
Hiyo itakua scout sio jesh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…