Kujiunga na chuo

Kujiunga na chuo

sarab

New Member
Joined
Nov 18, 2016
Posts
3
Reaction score
1
Wapendwa habari zenu, nina cheti cha veta cha computer and secretary je naweza kujiunga na Chuo nipate diploma? Maana nimeambiwa kuwa vyeti vya veta huwa havikubaliwi.
 
Wapendwa habari zenu, nina cheti cha veta cha computer and secretary je naweza kujiunga na Chuo nipate diploma? Maana nimeambiwa kuwa vyeti vya veta huwa havikubaliwi.
We kijana cjui ni me au ni ke,ebu kuwa na heshima veta inatambulika vizuri sana,nikikuambia mahali nilipo kwa sasa ivi huwezi amini,kwa wewe uliosomea computer and secretary unatakiwa uwende diploma ukasomee pale chuo cha utumishi magogoni,Gamba la Veta ni heshima sana
 
Back
Top Bottom