Kujiunga Jitegemee (JKT) Sec. School

Kujiunga Jitegemee (JKT) Sec. School

Jingo23

Member
Joined
Feb 10, 2015
Posts
6
Reaction score
0
Wakuu habari zenu,
Naomba msaada wa maelekezo ya kujiunga kidato cha tano 2015 kwenye shule ya sekondari Jitegemee,kwa yeyote anayejua naomba msaada,
Note:nipo mkoani
 
Wakuu habari zenu,
Naomba msaada wa maelekezo ya kujiunga kidato cha tano 2015 kwenye shule ya sekondari Jitegemee,kwa yeyote anayejua naomba msaada,
Note:nipo mkoani

we vp c usubir post!!mbna una kiherehere kijana wa o lvl
 
Angalia kwanza matokeo ya miaka mitano nyuma kisha uje na idea yako why jitegemee
 
Ada ni million 1 na 200,000 kama sikosei ila kama unataka ukae boarding inabid uwe na ndugu hapa Dar ila hostel zipo
 
Back
Top Bottom