nashukuru mzima
JF-Expert Member
- Jul 11, 2017
- 1,014
- 1,896
Vijana wanaumizwa sanaUko sahihi mkuu. Nadhani tunapaswa kua na miongozo stahiki kwenye hili suala.
Naomba nikutane kwanza wewe ni moumbavu.Acha upotoshaji mshahara wa Mwasibu anaye anza kazi Serikalini ni milioni 1.2?. Kwa mjibu wa muongozo anaye jitolea analipwa 80% ya mshahara na taasisi husika kipitia OC.Mwasibu Serikalini anae anza hulipwa 680,000. Anayejitolea hulipwa 544,000; Ukitoa paye,TRA,Bima n.k atajikuta anapaya chini ya 400,000/.
Madakta wanaonza kazi Serikalini hulipwa milioni 1.2 na wanaojitilea hulipwa 980,000. Tatizo lipo sikuzote makato ni mengi mpaka kupata take home hela inapungua.
Naomba nikutane kwanza wewe ni moumbavu.
Haya Turudi kwa mada.
Asilimia 80%wanaojitolea walipwe hivyo hii ilitoka wapi mkuu.
Watu wana lipwa laki 2 uko ulimwengu wa wapi wewe?
Kuna watu wanaitwa Taesa wanalipwa laki na nusu.
Kuna madaktari wanajitolea wanalipwa laki 4 hadi 5 wewe uko wapi wewe.
Wewe ni mjinga ...Acha upotoshaji mshahara wa Mwasibu anaye anza kazi Serikalini ni milioni 1.2?. Kwa mjibu wa muongozo anaye jitolea analipwa 80% ya mshahara na taasisi husika kipitia OC.Mwasibu Serikalini anae anza hulipwa 680,000. Anayejitolea hulipwa 544,000; Ukitoa paye,TRA,Bima n.k atajikuta anapaya chini ya 400,000/.
Madakta wanaonza kazi Serikalini hulipwa milioni 1.2 na wanaojitilea hulipwa 980,000. Tatizo lipo sikuzote makato ni mengi mpaka kupata take home hela inapungua.
Yaani anaongea Utumbo mpaka nimemshangaa Eti mwasibu wa kujitolea analipwa laki 9Wewe ni mjinga ...
Samahani Sana kwa kukuambia hivo mkuu
Mimi nilishaachana na hizo mambo za kujitolea.Naunga mkono hoja kuwa litazamwe upya.
Ila nakuulizeni ninyi vijana na akili zenu na usomi wenu hivi kweli ninyi wakufanyiwa hayo yote na elimu unayo, uthubutu unao kwanini kuvumilia ujinga ilihali unaweza kujitafuta kuliko kukaa sehemu unasubiri ajira ambazo hukuagana nazo?
Vijana jitafakirini sana .
Hongera sana.Mimi nilishaachana na hizo mambo za kujitolea.
Now nafanya biashara zangu za kuingiza hela.
Unaweza kuwa sahihi unachoongea lakini tatizoni je,taasisi zinafuata hzo sheria za mikataba ya wanaojitolea?Acha upotoshaji mshahara wa Mwasibu anaye anza kazi Serikalini ni milioni 1.2?. Kwa mjibu wa muongozo anaye jitolea analipwa 80% ya mshahara na taasisi husika kipitia OC.Mwasibu Serikalini anae anza hulipwa 680,000. Anayejitolea hulipwa 544,000; Ukitoa paye,TRA,Bima n.k atajikuta anapaya chini ya 400,000/.
Madakta wanaonza kazi Serikalini hulipwa milioni 1.2 na wanaojitilea hulipwa 980,000. Tatizo lipo sikuzote makato ni mengi mpaka kupata take home hela inapungua.