KUJITOLEA SERIKALINI

KUJITOLEA SERIKALINI

icca

Senior Member
Joined
Nov 8, 2014
Posts
186
Reaction score
177
habari zenu wana jukwaa,
Ni mda umepita nilikuja na thread ya kuomba kazi lakini bahati mbaya sikubahatika niliendelea kufanya biashara zangu ndogondogo adi sasa,leo nakuja kwenu kuomba ushauri na kupata mawazo tofauti nmepata nafasi ya kujitolea katika halimashauri mpya wilaya fulan morogoro kwa lengo la kupata uzoefu na kupata advantage ya kazi pindi zitakapotangazwa ndani ya halmashauri naomba ushauri wapendwa je ni hatua nzuri?au nisubiri adi ajira mpya zitakapotoka bado nipo njia panda,msaada wa mawazo tafadhali
 
Kama biashara zako zitakuwa haziathiriki na kufanya kujitolea hapo halmashauri nadhani hakuna tatizo ila kama zitakuwa zinaathirika na unaona biashara yako inao uelekeo naunga mkono hoja ya mtangulizi wangu.
 
ajira za halimashauri zinatolewa kupitia utumishi, hata ukijitolea hawana mamlaka ya kisheria kukuajiri nakushauri endelea na biashara hadi utumishi watakavyoanza tena kutangaza ajira ndio uapply
 
biashara zangu hazitaharibika sbb ni ya kuhamishika alafu ni sehemu ambayo bado hapan fursa sana yani ndo mji unaanza
 
ajira za halimashauri zinatolewa kupitia utumishi, hata ukijitolea hawana mamlaka ya kisheria kukuajiri nakushauri endelea na biashara hadi utumishi watakavyoanza tena kutangaza ajira ndio uapply
kwani hamna zile ambazo wana ajili halmashauri pale pale,kwa watu wa certificate na diploma?
 
Wenye Certificate hufanyiwa interview na halmashauri direct baadhi ya diploma nao hufanyiwa interview direct na halmashauri but kama una degree usithubutu kupoteza Muda unaeza jitolea utumishi wakamuallocate mtu kuja hapohapo na position uliyokua unajitolea, labda kama utafanya kwa lengo la kugain expirience na exposure
 
ahsante kwa ushauri bahati mbaya sina degree
 
Kwny halmashaur wanaoajiriwa n certificate na diploma za utawala..,maendeleo ya jamii na wanakuwa ni watendaji au maendeleo ya jamii au kama una cheti u dip za record management au secretary na waendesha maboti na uhudumu wa usafi basi
 
Ila mimi niliomba kujitolea halmashauri fulani ipo mikoa ya kusini nikaambiwa hawachukui watu wa kujitolea, wanataka staff nzima iwe kama one tight family bila kuingiliwa na watu wa nje ambao hawajaajiriwa.
 
Maisha ya sasa ya vijana tuliomaliza elim ya vyuo vikuu tunayaendesha kwa kufuata upepo kazi ni hakuna na mambo yanakua magum saana mm nakushauri vitu viwili cha kwanza uangalie aina ya biashara unayoifanya na maono yako hapo mbele je biashara yako ni sustainable..kwa maana inaweza kukua na kukuingizia kipato kikubwa au unafanya tuu kwa kua hamna kingine cha kufanya je mwelekeo upoje kati ya unachokipata na unachotumia kwa siku hiyoo cha pili ni masomo gan na position gan umeomba na umepata je unafikiri itakuwa ni rahisi kwako kuajiriwa serikarin ukizingatia kaz zote zinapitia utumish ni vema ukasema ni position..gan umepata tuone kama serikali kupitia halmashaur kama wanaweza kuwa na uwezo kuomba vibali vya kuajiri na tukushauri lakin napenda ujiajiri ufikiri ni jins gan unaweza kuitanua biashara yako na kuifanya ikuingizie kipato kikubwa zaid au unaweza kusema ni biashara gan unaifanya tukushauri pia na hiyo jins ya kuitanua na kuifanya iwe endelevu asante saana
 
Ila mimi niliomba kujitolea halmashauri fulani ipo mikoa ya kusini nikaambiwa hawachukui watu wa kujitolea, wanataka staff nzima iwe kama one tight family bila kuingiliwa na watu wa nje ambao hawajaajiriwa.
walijua wew mwiz i nin?
 
Back
Top Bottom