MKALI WA MAMBO
JF-Expert Member
- Aug 9, 2018
- 211
- 146
Acha nicheke kwa sautiBibi atanisamehe kwani mwanae yuko wapi saa hizo???
et 15mllns, nimpe bibi afanye surgery itabidi akubali umri ushamtupa mkono apambane na uzee wakeAcha nicheke kwa sauti
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Heeee we mwanamke naona umefunguka la rohoniTutakutana peponi
Muda mwingine bana wazee wakubali tu matokeo ya vijana waoet 15mllns, nimpe bibi afanye surgery itabidi akubali umri ushamtupa mkono apambane na uzee wake
Maamuzi mazuri sana na ya kirohoMimi natoa ..bana....ilihali bado Nina nguvu ya kutafuta ...I hope nitapata zingine....
Inauma sana unalipia baada ya matibabu anakaa cku mbili anafariki pumbaaaaavu waweza dai pesa zko sometimes maisha ni kamari mungu katuficha mengi!hapo nafunga macho na kumwambia bibi kila nafsi itaonja mauti hvy asijali tutakutana mbele huko.