unachukua Simu..unaingia kwa Whatsup una-text: ''I am at high RISK''..
halafu unaingia "dark''..na baada ya masaa 24 unaokotwa pembezoni ya barabara kuu, Km 530 toka dar...na unaenda ripoti Central..
unapowaeleza mkasa wako wa ~kuokotwa bila kupigwa wala ngeu.. ~halafu umejipuliza 'perfume'...
unakuwa hueleweki kwa pot
Na hapo kitendawili cha Kuokotwa kinabatizwa...UMEJITEKA