M Morrison Senior Member Joined Jun 6, 2012 Posts 102 Reaction score 17 Jun 7, 2012 #1 Hodiii jukwaani, mu hali gani jamani, nimechoka taaban mutakapojua yangu hali. Maisha yamekuwa ghali kuishi tena sitamani. Napanda jukwaani kwa dhiki huenda nikajifariji.
Hodiii jukwaani, mu hali gani jamani, nimechoka taaban mutakapojua yangu hali. Maisha yamekuwa ghali kuishi tena sitamani. Napanda jukwaani kwa dhiki huenda nikajifariji.
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,886 Reaction score 13,878 Jun 7, 2012 #2 Karibu sana JF mkuu.
Globu JF-Expert Member Joined Jan 12, 2011 Posts 9,401 Reaction score 3,027 Jun 7, 2012 #3 Karibu sana JF.
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,928 Jun 7, 2012 #4 Pita ndani utafarijika humu ndani.