Kujitambulisha walimu wapya

Hahaaaaaaaaa.. Chichimiz ww ni genius aiseee kama kwny akili yng ulikuwepo hyo ratba. Amen Mungu atusaidie jmn maanake kitaa kigumu snaa
 
yan mdau kama naona sku hyo mtandao utakavyo zingua aisee..!
 
Hakuna kusumbuaa watu tunzo link za kutosha hapa kitu kikifumuka tu fasta
 
YAANI MWL AAJIRIWE WAKATI ANA CARRY OVER AU SUPP BE SERIOUS KIJANA kwanza mnatakiwa mfanyiwe vetting mtawapoteza watoto wa maskini.
 
Nasikia wamesogeza mbele kwani bajeti imetumika kununulia BVR mashine.
 
Yasipotoka leo waalimu wengi watalazwa hospitali. Madereva wenyewe tulidanganywa
 
Kwa walimu wa shada
Bofya hapaa..

Kwa walimu wa stashahada
Bofya hapa....

Kwa walimu wa cheti
Bofya hapa...
 
Mkuu hapa ulitisha kama dogo Janna.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…