Ni vyema kuchukua maamuzi yaliyo Bora Kwa wakati sahihii, kujisadaka Ni neno Dogo lenye hisia Kali Za maumivu ndani Yake, mateso, ukosefu wa furaha Na Amani Lakin mwisho wake uwa mzuri Kwa jitahada zenye malengo.
nakumbuka mwaka flani niliwahi kupata msala flani nikiwa dodoma, nilipigika kama mbwa koko, baada ya ule msala kuisha nilienda kumtembelea mzee wangu(baba) mzee wangu aliniambia maneno haya " mwanangu **** hivi ni kweli umeamua kujitoa sadaka ? kiuhalisia tu mzee wangu alitambua maumivu na machungu niliyokuwa napitia kipindi kile.........kuna nyakati katika maisha inatakiwa ujitoe sadaka kwa sababu kunakuwa hamna .