Mbuzi Mzee
JF-Expert Member
- Feb 5, 2015
- 348
- 85
kwani inakuudhi ?
Kama inakuudhi kwa nini uudhike na vitu vya watu ?
Kama katuni vilee....aaaaaggghMwanamke kujipodoa ili uonekane nadhifu ila s asa wengine imekuwa ni kero unajipodoa hadi inakuwa kero mbele ya watu!
kujibodoa ni kujiremba
ani unajipendezesha, so unafanya vile ili uonekane mzuri zaidi ingawa binafsi situmii kipodozi chochote zaidi ya body lotion
kuringishiana tu
Poleni kwa majukumu.
Nisipoteze muda,hivi wadada kwa nini.mnajipodoa.Napata maswal menngi kuhusu mwanamke kujipodoa,Je ni kwa ajili ya kuwavutia wanaume.
Je ni usafi na umaridadi tu au kuwaringishia wanawake wenzenu au ni kushindania urembo.Nahitaji majibu yenye ukweli
sijui kwa wanaume kama nao wanajiremba kama wapo nao waje watueleze kwa nini wanajiremba.
Athante
Ulimbukeni
Ndo mimiMbuzi mzee!!noooo sidhani kama ni wewe nimekufananisha na Mbuzi mzee wa zamani...
Uhandsome unaletwa na vpodoz.....?hahahhahahaKujipodoa mm nahisi ni kujiweka katika hali nzuri kimwili ili mwenzie (mume wake) avutiwe na aendelee kumpenda zaidi. Mengine siyaelewi, kuna mwanaume mmoja (mweusi) alinitembelea home, akaomba mafuta apakae nilipo mpa akasema huwa hatumii yale mafuta, nikaamua kumpa hela akanunue anayoyataka, mafuta aliyonunua hayana tofauti na yale ya jinsia kike, vipodozi vingi. Mwisho akaniambia na yeye anataka awe soft ili akirudi kwao awe handsome. Nouma sana gentleman!
eeh wewe si ulitaka majibu
Ndo mimi