Rog chimera
JF-Expert Member
- Apr 28, 2018
- 398
- 714
- Thread starter
-
- #61
Bro! Jaribu kufanya utafiti vzr kabla hujatoa statements aisee,kwanza unajua kwamba ni kwa jinsi gani unatakiwa kuwa exceptional kama self taught ndo uingie google,apple,etc.Going by logic ya quote, na mimi nimesema pia Google doesn’t need someone to have a degree to work at Google. Apple, IBM and others pia don’t need degrees, so both sides of the coin are equally reasonable. But we can agree to disagree at this point. At the end of the day training is there,either from online courses, self-study etc, it doesn’t have to be from a degree, especially for fundamentals.
Cheers.
Sina sababu ya kuumia bro ,nimewapa ushauri wa bure tu.kabla sijaenda chuo na mimi nilikua kama wao.Mzee unaumia sana kwamba kuna watu mtaa huku wanajua unachojua kwa mda mfupi tu ndo maisha lakini waache vijana wajifunze since knowledge inapatikana mitandaoni wacha watu wajue kuwakatisha watu tamaa ni dalili ya kuwa utakuja kuwa mchawu uzeeni
Ushauri wangu ni huu, kama una passion na CSE, nenda chuo chochote kati ya hivyo nilivyovitaja,soma kwa bidii uelewe concept na shirikiana na wenzako ambao wanahamu ya kujifunza kiundani na sio bla bla.ukitoka hapo utakua na uelewa mpana sana wa hii field, itakufungulia milango katika nafasi nzuri kwenye kampuni za maana na opportunity ya kujiendeleza masters na phd, kampuni kama Microsoft ina branch kenya , ghana , Egypt na huko afrika kusini .kuna nafasi za maana kama research scientist zenye mishahara mikubwa balaa ambazo kama hujaenda chuo hutokaa uziguse.Tunaomba ushauri kwa kuanzia
Mimi nakuja huko
We Dogo usidhani hicho Chuo Wewe ndo wa Kwanza Kusoma.....Watu Tumepita huko na Hakuna ChochoteSina sababu ya kuumia bro ,nimewapa ushauri wa bure tu.kabla sijaenda chuo na mimi nilikua kama wao.
We Dogo usidhani hicho Chuo Wewe ndo wa Kwanza Kusoma.....Watu Tumepita huko na Hakuna Chochote
Mnasoma kukariri Madesa na kufikisha Course works Tu...Kuandika Viji program kwenye karatasi havikufanyi Wewe uwe Programmer
Kwanza Ni Plain fact kwamba Programmer waliofanya Makubwa Duniani Ni Self Taught. Fatilia hata kudogo Basi Historia hata Mwanzikishi wa Instagram... Programming Ni self Experience sio kutegemea hao Lectures wenu Wasoma Slides ambao Hakuna yoyote aliyefanya Cha maana kwenye Sector ya IT
Dogo Acha Upimbi
Kama lengo ni kujua tu programming anaweza kutumia mtandao kujifunza , naamini wa hivi lengo sio kupatiapo kipato bali ni mapenz tu ya kujifunza. Lakini ataijua juu juu tu kama wengine wanaojifunza wenywe.OK mtaalam kama mtu ana umri wa miaka 40 - 60 ana interest tu kujua programming una mshauri aende wapi?
St Joseph sijaifatilia sana kujua undani wake na namna wanavyoendesha course zao ndo maana sijakitaja hapo,japo naweza kukubaliana na ww kwa sababu najua ni chuo cha wahindi , na wahindi mambo ya kitabu hawanaga ubabaishaji. Sijasema ni chuo kibaya. Hivyo nilivyovitaja cbe etc navijua sana tena sana tu.from what I know unaeza kujifunza mwenyewe na ukafanya vema pia mtoa mada inaelekea yuko bias au hana ufahamu kuhusu tech industry ya Tanzania, many information technology company kama smatcodes,flowfarm ets
Fanya utafiti vema mleta mada computer programmer wazuri wanatoka sjcet fuatilia kwenye company nyingi ambazo ni game changer zina maprogramer kutoka so kusema watu wakajifunze vyuo hivi halafu hivi havifai ni uongo wa mchana kweupe pia lugha ya computer ni kama lugha unaweza kujifunza chuoni au kwa kutafuta materials mwenyewe amka kjn
Hahaha bro umenichekesha, kutafuta elimu na ujuzi ni hofu na ujinga, aisee.Mawazo ya kimagu magu ndio haya.. yaani sisi watz tuna fikra za hofu na ujinga kupitiliza
Hapana mkuu sio wakala,wewe ni wakala wa hivyo vyuo?
elimu ina patikana kwa urahisi tu mtandaoni, chuoni unafanya mtihani na kupata cheti hasaaa kama una lenga kuajiriwa,
ila kama ni kujiongezea ujuzi tu na kupiga dili uswahilini elimu mtandao inatosha kabisaaa.
Iko wapi roho mbaya apo ndugu?Acha roho mbaya,
Hapana mkuu sio wakala,
Bro elewa kitu kimoja , msingi wa computer science na engineering haubadiliki, kinachotokea ni idea mpya zinavumbuliwa na watafiti na kuongezwa juu ya zile zilizopo ,kinachobadilika ni mazao yanayotakana na msingi huu, mambo kama frameworks na programming languages ni mazao ya msingi huo, wenye huo msingi wanajua kinachofanyika na hawapati tabu yanapotokea mabadiliko infact wao ndio wanayaleta mabadiliko , ambao hawana msingi huo wanabaki kutapatapa kukariri sababu hawana msingi.Tatizo vyuo vyetu haviendi na market requirements. Soko linataka nini. Sasa wewe unapata degree yako ukiingia mtaani unakuta technolojia imebadilika. Hapo unakuta dogo wana-certificate ya mwezi uliopita wanakutesa kwenye interview mana wewe unajua uliyosoma first year miaka 2 iliopita.
Unazungumza hivo kwa sababu hujui,unajua ni asilimia ngap ya self taught developers ambao wanafanikiwa kuingia kwenye fellowship?
On top of that kaa ukijua kwamba majority ya wanaoingia kwenye fellowship bila degree CE,CS au SE wanakua na elimu nyingine kwenye technical field kama statistics, Math au Engineering at least kwa level ya diploma. Kama kuna mtu yyt unamfahamu andela kenya, Uganda au Rwanda muulize ku confirm.
Hawa madogo wakikariri lines mbili tatu za php na html kisha wakaweza kuisalimu dunia kwa 'Hello World!' ni shida.We Dogo usidhani hicho Chuo Wewe ndo wa Kwanza Kusoma.....Watu Tumepita huko na Hakuna Chochote
Mnasoma kukariri Madesa na kufikisha Course works Tu...Kuandika Viji program kwenye karatasi havikufanyi Wewe uwe Programmer
Kwanza Ni Plain fact kwamba Programmer waliofanya Makubwa Duniani Ni Self Taught. Fatilia hata kudogo Basi Historia hata Mwanzikishi wa Instagram... Programming Ni self Experience sio kutegemea hao Lectures wenu Wasoma Slides ambao Hakuna yoyote aliyefanya Cha maana kwenye Sector ya IT
Dogo Acha Upimbi
Hahaha bro endelea kujifariji, na kama ww ni self taught dev Najua ss iv upo mbele ya screen unacode vi program uchwara (calculator, website,clone ya excel ,system ya shule and the like).kisha uvipandishe playstore kama ushaidi wa kazi ulizofanya!Confirmation ili to prove your irrelevant points? Good day sir and good luck in convincing people on whatever crap you have to say to them.
Umesomea wapi ndugu?Hawa madogo wakikariri lines mbili tatu za php na html kisha wakaweza kuisalimu dunia kwa 'Hello World!' ni shida.
Mimi nimemaliza chuo na basic knowledge ya Pascal,C,VB na Web Technologies tu tena HTML maana hata CSS sikuwahi ijua maana mambo yote ilikuwa Dreamweaver na PHP sijawahi ipenda,miaka 10 sasa since graduation nacode kwa Java,C#,VB.Net na sasa Python si haba na vyote ni self taught kwa kufanya projects zangu huku nikisoma forums mbalimbali na kutumia videos za YouTube nk.
Lecture anakufundisha Database Query Language eg SQL mpaka course inaisha haujaona hata hizo script zinavyovuta taarifa na kupeleka commands na hapo yupo na projector kuuubwa na laptop,anashindwa kudesign hata simple DB watu waone kwa macho yao!
Sasa huyo dogo sijui anaongea pumba gani?
Kumeibuka wimbi la watu kujifunza programming na kujiaminisha kwamba jambo hili linawezekana .ukweli ni kwamba wengi wanaopitia njia hii wanakosa foundation ya CS na wanajikuta wamekariri tu programming languages na namna ya kutumia library kufanya wanayo kusudia.no wonder wengi wanopitia njia hii wameishia kwenye web development tena frontend.ukiwapeleka kwenye vitu technical zaidi vinavyohitaji kuelewa concept za ndani za programming na mambo ya ds na algorithms asee utawaona wana haha.
Ushauri wangu ni kuwa japokuwa resources za kujifunza misingi ya cs zimejaaa mtandaoni , ni ngum mno kuji commit kuhakikisha unajifunza na kuelewa wewe mwenyewe bila usaidizi wa mentor na uwepo wa supporting community kama inayopatikana chuo.
Kwaiyo kama una interest na CS na tech kwa ujumla, UDSM CS/CE, UDOM SE,DIT CE. (Sijui kama wana CS.)
MAKERERE CS/CE, Uni of Nairobi CS,
JKUAT CS. na SUA informatics( sina uhakika na course content yao ila naskia ni CS /CE oriented
na sio IT oriented). Usiende vyuo vya mbuzi ati sijui open university ,
Ruco etc utapoteza muda!

Sawa sikatai, pia inategemea kazi za aina gani anazofanya huko ,sidhani kama anafanya kitu kikubwa sana zaidi ya web development. Maana wengi ndio hua kazi zao. Wapo wachache ambao wanakiweza wanafanya zaidi, na wengi wanakua na elimu kwenye technical field nyingine hasa mathematics na engineering.Sijamaliza soma uzi wako lakini nakupinga kwa herufi kubwa nina jamaa angu amemaliza finance hivi sasa naandika apa jamaa ni programmer mmoja hatari sana anafanya kazi na makampuni makubwa sana ya nje jamaa habatishi anapiga code balaa na amesoma geto tu hajawahi hata pigwa msasa na mtu yoyote zaidi ya kuchimba mwenyewe
Sawa sikatai, pia inategemea kazi za aina gani anazofanya huko ,sidhani kama anafanya kitu kikubwa sana zaidi ya web development. Maana wengi ndio hua kazi zao. Wapo wachache ambao wanakiweza wanafanya zaidi, na wengi wanakua na elimu kwenye technical field nyingine hasa mathematics na engineering.