Ninaye mtu namfaham kajifunzia You tube, sema alikuwa na passion Sana ya hayo makitu huku chuo akisoma fani nyingine ya uhandisi, hivi sasa yupo nchi za mbele anasoma masters ya computer na amepata kibarua part Time huko tena cha hiyohiyo aliyosomea YouTube na kusoma vitabu Mwenyewe na usaidizi kidogo toka kwa wanafunzi waliokuwa kwenye fani hiyoKumeibuka wimbi la watu kujifunza programming na kujiaminisha kwamba jambo hili linawezekana .ukweli ni kwamba wengi wanaopitia njia hii wanakosa foundation ya CS na wanajikuta wamekariri tu programming languages na namna ya kutumia library kufanya wanayo kusudia.no wonder wengi wanopitia njia hii wameishia kwenye web development tena frontend.ukiwapeleka kwenye vitu technical zaidi vinavyohitaji kuelewa concept za ndani za programming na mambo ya ds na algorithms asee utawaona wana haha.
Ushauri wangu ni kuwa japokuwa resources za kujifunza misingi ya cs zimejaaa mtandaoni , ni ngum mno kuji commit kuhakikisha unajifunza na kuelewa wewe mwenyewe bila usaidizi wa mentor.
Kwaiyo kama una interest na CS na tech kwa ujumla, UDSM CS/CE, UDOM SE,DIT CE. (Sijui kama wana CS.)
MAKERERE CS/CE, Uni of Nairobi CS,
JKUAT CS. na SUA informatics( sina uhakika na course content yao ila naskia ni CS /CE oriented
na sio IT oriented). Usiende vyuo vya mbuzi ati sijui open university ,
Ruco etc utapoteza muda!
Kuwa IT ni kitu chepesi sana...mdogo wangu asaiv form 4 lakin anafanya kila kitu tena hadi website,hizi flyers,bronchure sijui Business card ya kampuni ya kaka yake kaitengeneza yeyeNinaye mtu namfaham kajifunzia You tube, sema alikuwa na passion Sana ya hayo makitu huku chuo akisoma fani nyingine ya uhandisi, hivi sasa yupo nchi za mbele anasoma masters ya computer na amepata kibarua part Time huko tena cha hiyohiyo aliyosomea YouTube na kusoma vitabu Mwenyewe na usaidizi kidogo toka kwa wanafunzi waliokuwa kwenye fani hiyo
Kikubwa ni passion tu unaweza kbsa kusoma.
Mkuu ushauri wako sijaona mantiki yake mpaka sasa, kiufupi ni bora ku-hustle kujifunza kitu peke yako kuliko kukaa darasani tena bongo ukitegemea utaki-master kwa miaka hiyo kadhaa the same thing unachoenda kufanya kule hakina utofauti na kujifungia ndani kwa kusoma vitabu na kupata muda wa kukaa na wazoefu, jiulize tuna Graduates wangapi wa IT kila mwaka kutoka kwenye hivyo vyuo uluvyovitaja and so far washafanya mabadiliko gani mpaka sasa, don't discourage watu ambao wana passion ya kufanya kile wanachokipenda wenyewe, kutaka kumshawishi mtu kwenda kusoma coding kwa slides kadhaa darasani unamtia uvivu na hata ile hamasa inatoweka, jifunze kitu peke yako kosea kisha jioji wapi nimekosea siyo nimekosea waniwekea F kwa karatasi kwa wino mwekundu as if you understand my inner ability. In short watu wa coding tuendelee kujifungia ndani habar ya kwenda chuo kupoteza miaka kadhaa unarudi ndo unaanza kuwa fundi computer maana yake nn.Kumeibuka wimbi la watu kujifunza programming na kujiaminisha kwamba jambo hili linawezekana .ukweli ni kwamba wengi wanaopitia njia hii wanakosa foundation ya CS na wanajikuta wamekariri tu programming languages na namna ya kutumia library kufanya wanayo kusudia.no wonder wengi wanopitia njia hii wameishia kwenye web development tena frontend.ukiwapeleka kwenye vitu technical zaidi vinavyohitaji kuelewa concept za ndani za programming na mambo ya ds na algorithms asee utawaona wana haha.
Ushauri wangu ni kuwa japokuwa resources za kujifunza misingi ya cs zimejaaa mtandaoni , ni ngum mno kuji commit kuhakikisha unajifunza na kuelewa wewe mwenyewe bila usaidizi wa mentor.
Kwaiyo kama una interest na CS na tech kwa ujumla, UDSM CS/CE, UDOM SE,DIT CE. (Sijui kama wana CS.)
MAKERERE CS/CE, Uni of Nairobi CS,
JKUAT CS. na SUA informatics( sina uhakika na course content yao ila naskia ni CS /CE oriented
na sio IT oriented). Usiende vyuo vya mbuzi ati sijui open university ,
Ruco etc utapoteza muda!
Mkuu nakubaliana na wewe ila sikubaliani na wewe.Ni kweli huwezi kujifunza 100% bila kuwa na mentor ila si kweli kwamba ukiwa na mentor utajifunza 100%Kumeibuka wimbi la watu kujifunza programming na kujiaminisha kwamba jambo hili linawezekana .ukweli ni kwamba wengi wanaopitia njia hii wanakosa foundation ya CS na wanajikuta wamekariri tu programming languages na namna ya kutumia library kufanya wanayo kusudia.no wonder wengi wanopitia njia hii wameishia kwenye web development tena frontend.ukiwapeleka kwenye vitu technical zaidi vinavyohitaji kuelewa concept za ndani za programming na mambo ya ds na algorithms asee utawaona wana haha.
Ushauri wangu ni kuwa japokuwa resources za kujifunza misingi ya cs zimejaaa mtandaoni , ni ngum mno kuji commit kuhakikisha unajifunza na kuelewa wewe mwenyewe bila usaidizi wa mentor.
Kwaiyo kama una interest na CS na tech kwa ujumla, UDSM CS/CE, UDOM SE,DIT CE. (Sijui kama wana CS.)
MAKERERE CS/CE, Uni of Nairobi CS,
JKUAT CS. na SUA informatics( sina uhakika na course content yao ila naskia ni CS /CE oriented
na sio IT oriented). Usiende vyuo vya mbuzi ati sijui open university ,
Ruco etc utapoteza muda!
Mkuu nachokiona hapa unaumia na kuteseka mno kuona vitu ulivyovisoma Kwa mbinde, leo teknolojia imevirahisisha na watu wanavisoma kirahisi sana. Kumbuka mambo yanabadilika sana usiforce uzamani kwenye sasa. Zamani watu walitumia mawe kuhesabu baadae ikaja vijiti leo Kuna calculators. Huwezi kusema watumia mawe walikuwa bora zaidi. Pia kulikuwa na watu wanaitwa ma bwana mafaili spesho Kwa kutunza mafile, ila baada ya kuja kwa tarakirishi a k a computer Huwezi kuwasikia tena coz files zinatunzwa mule na ni simple zaidi kuzipata. Acha uzamani na si kila mtu apitie ulipopitiaKumeibuka wimbi la watu kujifunza programming na kujiaminisha kwamba jambo hili linawezekana .ukweli ni kwamba wengi wanaopitia njia hii wanakosa foundation ya CS na wanajikuta wamekariri tu programming languages na namna ya kutumia library kufanya wanayo kusudia.no wonder wengi wanopitia njia hii wameishia kwenye web development tena frontend.ukiwapeleka kwenye vitu technical zaidi vinavyohitaji kuelewa concept za ndani za programming na mambo ya ds na algorithms asee utawaona wana haha.
Ushauri wangu ni kuwa japokuwa resources za kujifunza misingi ya cs zimejaaa mtandaoni , ni ngum mno kuji commit kuhakikisha unajifunza na kuelewa wewe mwenyewe bila usaidizi wa mentor.
Kwaiyo kama una interest na CS na tech kwa ujumla, UDSM CS/CE, UDOM SE,DIT CE. (Sijui kama wana CS.)
MAKERERE CS/CE, Uni of Nairobi CS,
JKUAT CS. na SUA informatics( sina uhakika na course content yao ila naskia ni CS /CE oriented
na sio IT oriented). Usiende vyuo vya mbuzi ati sijui open university ,
Ruco etc utapoteza muda!
Mkuu nakubaliana na wewe ila sikubaliani na wewe.Ni kweli huwezi kujifunza 100% bila kuwa na mentor ila si kweli kwamba ukiwa na mentor utajifunza 100%
Kusoma programming au CS kama unavyosema sio kazi rahisi iwe unamwalimu au hauna mwalimu.Inahitaji bidii ya ziada.
Mimi binafsi ninajifunza Programming mwenyewe.Nilianza na WEB Proramming,Sasa hivi najifunza kuhusu OPERATING SYSTEMS,kisha nitafuata CRYPTOGRAPHY and IS SECURITY baada ya HAPO nitaspecialize kwenye LUGHA MOJA ya PROGRAMMING kwa ajili ya kutengeneza cloud based softwares.
Kwa muda niliojifunza nimetambua kwamba kujua webprogramming in maana tayari unajua BASICS of Programming unachotakiwa sasa ni kufahamu kinachofuata baada ya hapo ni nini.
Nafikiri wengi wanapotea kufikiri kufahamu codes ndo kufahamu programming/coputer science kumbe codes ni kama Periodic table kwenye Chemistry au Four Figure kwenye hesabu au Dictionary/Kamusi kwenye Lugha.Unatakiwa ujue unachotaka kufanya nini kisha hizo zinakuwa kama tools za kukusaidia kufanya kile unataka kufanya.
So nafikiri wanaojifunza wenyewe waendelee kupambana kwani tunao uhaba wa web programmers hapa nchini hasa wenye ubora
from what I know unaeza kujifunza mwenyewe na ukafanya vema pia mtoa mada inaelekea yuko bias au hana ufahamu kuhusu tech industry ya Tanzania, many information technology company kama smatcodes,flowfarm etsKumeibuka wimbi la watu kujifunza programming na kujiaminisha kwamba jambo hili linawezekana .ukweli ni kwamba wengi wanaopitia njia hii wanakosa foundation ya CS na wanajikuta wamekariri tu programming languages na namna ya kutumia library kufanya wanayo kusudia.no wonder wengi wanopitia njia hii wameishia kwenye web development tena frontend.ukiwapeleka kwenye vitu technical zaidi vinavyohitaji kuelewa concept za ndani za programming na mambo ya ds na algorithms asee utawaona wana haha.
Ushauri wangu ni kuwa japokuwa resources za kujifunza misingi ya cs zimejaaa mtandaoni , ni ngum mno kuji commit kuhakikisha unajifunza na kuelewa wewe mwenyewe bila usaidizi wa mentor.
Kwaiyo kama una interest na CS na tech kwa ujumla, UDSM CS/CE, UDOM SE,DIT CE. (Sijui kama wana CS.)
MAKERERE CS/CE, Uni of Nairobi CS,
JKUAT CS. na SUA informatics( sina uhakika na course content yao ila naskia ni CS /CE oriented
na sio IT oriented). Usiende vyuo vya mbuzi ati sijui open university ,
Ruco etc utapoteza muda!
Fanya utafiti vema mleta mada computer programmer wazuri wanatoka sjcet fuatilia kwenye company nyingi ambazo ni game changer zina maprogramer kutoka so kusema watu wakajifunze vyuo hivi halafu hivi havifai ni uongo wa mchana kweupe pia lugha ya computer ni kama lugha unaweza kujifunza chuoni au kwa kutafuta materials mwenyewe amka kjnKumeibuka wimbi la watu kujifunza programming na kujiaminisha kwamba jambo hili linawezekana .ukweli ni kwamba wengi wanaopitia njia hii wanakosa foundation ya CS na wanajikuta wamekariri tu programming languages na namna ya kutumia library kufanya wanayo kusudia.no wonder wengi wanopitia njia hii wameishia kwenye web development tena frontend.ukiwapeleka kwenye vitu technical zaidi vinavyohitaji kuelewa concept za ndani za programming na mambo ya ds na algorithms asee utawaona wana haha.
Ushauri wangu ni kuwa japokuwa resources za kujifunza misingi ya cs zimejaaa mtandaoni , ni ngum mno kuji commit kuhakikisha unajifunza na kuelewa wewe mwenyewe bila usaidizi wa mentor.
Kwaiyo kama una interest na CS na tech kwa ujumla, UDSM CS/CE, UDOM SE,DIT CE. (Sijui kama wana CS.)
MAKERERE CS/CE, Uni of Nairobi CS,
JKUAT CS. na SUA informatics( sina uhakika na course content yao ila naskia ni CS /CE oriented
na sio IT oriented). Usiende vyuo vya mbuzi ati sijui open university ,
Ruco etc utapoteza muda!
Kwaiyo kama una interest na CS na tech kwa ujumla, UDSM CS/CE, UDOM SE,DIT CE. (Sijui kama wana CS.)
MAKERERE CS/CE, Uni of Nairobi CS,
JKUAT CS. na SUA informatics( sina uhakika na course content yao ila naskia ni CS /CE oriented
na sio IT oriented). Usiende vyuo vya mbuzi ati sijui open university ,
Ruco etc utapoteza muda!
Ni Kama simu Mkuu hufundishwi na mtu lakini kadri unavyozidi kuichezea unazidi kujua vitu Mara ma screenshots mara kuiflash bila Kutumia computer. Ha ha haaaKuwa IT ni kitu chepesi sana...mdogo wangu asaiv form 4 lakin anafanya kila kitu tena hadi website,hizi flyers,bronchure sijui Business card ya kampuni ya kaka yake kaitengeneza yeye
Yaaap,walioweka cheti hawakuwa wajinga, ila tusiwe focus sana kwenye vyeti, tu focus kwenye information, knowledge, generation ya knowledge na application zake na hii itasaidia vijana kulia lia na ajira.Hii requirements iko dunia nzima hata marekani first world cheti kinapewa heshima.waliouweka utaratibu huu hawakua wajinga.
Tatizo vyuo vyetu haviendi na market requirements. Soko linataka nini. Sasa wewe unapata degree yako ukiingia mtaani unakuta technolojia imebadilika. Hapo unakuta dogo wana-certificate ya mwezi uliopita wanakutesa kwenye interview mana wewe unajua uliyosoma first year miaka 2 iliopita.Sina kikubwa nilichofanya , mimi ni software engineer andela, kumshauri mtu hakuhitaji uwe umefanya kitu kikuuubwa! Ukiwa tu na ujuzi wa kutosha na uzoefu inatosha.
Tunasubiri mkuu!Nitashare link za paid programming course ambapo mwenye kuhitaj anipm itampatia link atajiunga na udemy na atazipata hizo course free kabisa bila kutoa hata mia. course zenyewe zinanzia $199 but utazipata free kabisa.link yenyew niya telegram channel.ukimaliza course utapewa certificate yako.
Sina kikubwa nilichofanya , mimi ni software engineer andela, kumshauri mtu hakuhitaji uwe umefanya kitu kikuuubwa! Ukiwa tu na ujuzi wa kutosha na uzoefu inatosha.
Unazungumza hivo kwa sababu hujui,unajua ni asilimia ngap ya self taught developers ambao wanafanikiwa kuingia kwenye fellowship?Labda andela student ila sio senior engineer. Isingekuwa na mawazo ya ajabu kama hayo kwa kuleta mada hii. Andela wenyewe wana encourage watu ambao hawana CS Degree wafanye application ya ALC programs zao.