Duh BelindaJacob bado unawashughulikia wale wageni wako.
Kuna chuo kizuri sana kinaitwa MS Training Centre for Development Cooperation kinafundisha kiswahili katika level zote kipo nje kidogo ya mji wa Arusha maeneo ya Tengeru/Usa River kinamilikiwa na waDenish.Wageni wengi wanapenda kujifunza hapo kwasababu ya mazingira mazuri na uzoefu wa zaidi ya miaka 30.Email yao mstcdc@mstcdc.or.tz unaweza kutembelea web site www.mstcdc.or.tz .