Ana umri gani? Mpeleke shule zinazotoa elimu ya watu wenye mahitaji maalumu, usimfiche ndani! Ushauri; nunua kamusi ya lugha ya alama ili uielewe zaidi you tube kuna video nyingi sana zitakazo kuongoza katika kujifunza
Ni umri sahihi kabisa wa kumpeleka shule.. na shule ya msingi huwa wanasoma jumla ya miaka kumi ndiyo anaendelea na elimu ya upiliAsante kwa ushauri mpendwa!siwezi kumficha maana nampenda na ana haki zote kama binadamu ana umri wa miaka 6 sasa
Maeneo ninapoishi hakuna hiyo shule ndugu na hata ghalama za kumpeleka kwenye hizo shule za mbali siwezi kuzimudu ndomana nikaomba mwongozo ikibidi nijifunze mwenyewe hata nikipata video za kufundisha hiyo lugha naimani nitaelewa na nitajitahidi nimfunishe mwanangu hivyo hivyo taratibu!Ni umri sahihi kabisa wa kumpeleka shule.. na shule ya msingi huwa wanasoma jumla ya miaka kumi ndiyo anaendelea na elimu ya upili
Maeneo ninapoishi hakuna hiyo shule ndugu na hata ghalama za kumpeleka kwenye hizo shule za mbali siwezi kuzimudu ndomana nikaomba mwongozo ikibidi nijifunze mwenyewe hata nikipata video za kufundisha hiyo lugha naimani nitaelewa na nitajitahidi nimfunishe mwanangu hivyo hivyo taratibu!
Mtoto ana matatizo mengi hilo ni moja usipojali ntakujuza ndugu ila nimependa udhauri na kujali kwako Mungu akubariki sana!Ndugu yangu, huyo kijana namuona kama kijana wangu.. shule za serikali hazina gharama na nyingi ni za bweni! Chakula na malazi atapewa hapo hapo shuleni.. shule zingine zinamilikiwa na taasisi za kidini na nyingi wanatoa ufadhili wao wenyewe hivyo wewe utawajibika kuchangia gharama za kawaida sana. Kumbuka huyu anahaki ya kupata elimu kama watoto wengine hivyo lengo lako lisiishie tu kurahisisha mawasiliano kati yako wewe na yeye bali uende mbali zaidi ili tumtengenezee mtoto mazingira ya kujitegemea
Mtoto ana matatizo mengi hilo ni moja usipojali ntakujuza ndugu ila nimependa udhauri na kujali kwako Mungu akubariki sana!