kujifunza kulenga shabaha

filonos

JF-Expert Member
Oct 13, 2011
647
137
kuna jamaa kajiunga na jeshi wakapangiwa kwenda kwenye shabaha walikua 20 kila 1_lipea risasi 30 wana piga 10 ote waepa nusu bigwa kakosa zote 10 lapili nazo amekosa zote 10 la 3 kapiga 9 imebaki 1 akaludi kwa hafande kumwambia Afande nimekosa 29 afande akamwambia hiyo moja kajimalize mwenyewe bigwa akaenda nyuma ya banda akapiga Afande akawambia wale wengine mnamsikia mjnga huyo kajiua?? mala anakuja polepole Afande anamuuliza vipi wewe?? Bigwa akajibu Afande NIMEJIKOSA. Afande akasema basi Jeshi umekosa
 
Back
Top Bottom